Je, IAAF imeshindwa mujukumu yake?
Shirikisho la riadha IAAF linakumbwa na madai ya kushindwa kukabiliana na visa vingi vya matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
CHADEMA: CCM imeshindwa
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wananchi kutokichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa serikali za mitaa Kimesema mikakati na sera za Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeshindwa kutatua...
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
‘Serikali imeshindwa kupambana na Mnyauko’
MBUNGE wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM) ameitaka Serikali kueleza sababu zinazochangia kushindwa kutokomeza ugonjwa wa Mnyauko unaoshambulia migomba Mkoani Kagera. Akiuliza swali la nyongeza Mbunge huyo alisema ugonjwa huo...
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
CCM imeshindwa kuyadhibiti makundi?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) sasa kimekuwa kama familia ya kambale. Wote wana sharubu bila kujali ni baba, mama au hata mtoto. Tulishaandika sana, hii si ile CCM tuliyoifahamu. Sijawahi kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Serikali imeshindwa kukomesha mapigano haya?
KWA mara nyingine yamezuka mapigano baina ya wakulima na wafugaji wa jamii ya Kimasai katika Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Vurugu hizo zinadaiwa kuzuka jana asubuhi baada ya wakulima kuamua...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Serikali imeshindwa kuzuia mauaji Kiteto?
MAUAJI ya mara kwa mara yanayoendelea wilayani ya Kiteto bila ya jitihada za makusudi kuyakomesha yanaashiria kushindwa kuwajibika kwa baadhi ya viongozi na taasisi wanazoziongoza Tunaelezwa kuanzia Februari hadi sasa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
‘Serikali imeshindwa kusimamia vitega uchumi’
MAKAMU wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, amesema Tanzania ni nchi tajiri kwa kuwa na vyanzo mbalimbali vya mapato, lakini wasimamizi wakubwa ambao ni serikali wameshindwa kusimamia vyanzo hivyo. Dk. Bilal...
10 years ago
Mwananchi14 Jul
Lipumba: Serikali imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Je kwa nini Afrika imeshindwa kufikia Malengo ya milenia?
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Mghwira: Serikali imeshindwa kumaliza vifo vya watoto