Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mghwira: Serikali imeshindwa kumaliza vifo vya watoto

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema Serikali imeshindwa kufikia malengo ya milenia katika suala la afya na kusababisha kuwapo kwa idadi kubwa ya vifo vya wajawazito na watoto wachanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TUNDURU YAWEKA MKAKATI WA KUMALIZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WACHANGA

 Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Renatus Mathias akiongea jana  wakati wa mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo wauguzi na matatibu kutoka zahanati na vituo vya Afya  mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo  ikiwa ni mkakati wa Hospitali hiyo kupunguza vifo vya akina mama wajawazito wakati wa kujifungua,watoto wachanga na walio chini ya umri wa miaka mitano,katikati Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt Wendy Robert na kulia afisa lishe wa wilaya Martha Kibona.

 

10 years ago

StarTV

Serikali yafanikiwa kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano

Na Wilson Elisha,

Mwanza

 

Kupungua kwa vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano kutoka vifo 147 mwaka 1999 hadi kufikia vifo 54 mwaka 2013 kwa kila vizazi hai 1, 000 kunatokana na juhudi za serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo  na sekta binafsi katika sekta ya afya.

 

Hali hiyo imechangia kufikia lengo la maendeleo ya Milenia namba nne la kupunguza vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga kwa kasi zaidi kupitia mpango wa matokeo makubwa sasa katika sekta ya...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kutenga bajeti ya kununua vifaa tiba ili Kupunguza Vifo Vya Watoto

 

SERIKALI imepewa changamoto ya kutenga fedha katika bajeti yake na kununua vifaa tiba pamoja na dawa zitakazosaidia kupunguza au kuondoa kabisa vifo vya watoto wachanga hapa nchini ambapo ripoti mbalimbali zinaonyesha mwaka jana pekee imefikia watoto elfu kumi na tatu.

Changamoto hiyo imetolewa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation muda mfupi baada ya kukabidhi vifaa vitakavyosaidia kuokoa maisha ya watoto wachanga hususani watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa.

Ndani ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulaya kumaliza vifo vya Wahamiaji?

Umoja wa Ulaya unatarajiwa kujadili mipango ya kuondokana na tatizo la Wahamiaji wanaopoteza maisha katika bahari ya Mediterania

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo

a1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la  alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.

a2

a3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vifo vya watoto vingali juu

Shirika la watoto Save the Children linasema kuwa licha ya mafanikio katika kumaliza vya vifo vya watoto duniani, watoto milioni moja hufariki dunia kila mwaka katika siku yao ya kwanza ya maisha.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je vifo vya watoto vimepungua Afrika?

Malengo ya milinenia kupunguza vifo vya watoto wachanga wanaoaga dunia kabla ya kufikisha miaka mitano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Idadi ya vifo vya watoto imepungua

Umoja wa Mataifa unasema mafanikio makubwa yamepatikana katika kupunguza vifo vya watoto wadogo

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yapunguza vifo vya watoto

Wakati tarehe ya mwisho ya tathmini ya malengo ya maendeleo ya milenia ikikaribia , nchi ya Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo zimefanikiwa kutimiza lengo la kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani