Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema wachota posho bungeni

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

NA FREDY AZZAH, DODOMA

WAKATI viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakiendelea kusisitiza kuwa hawatarudi kwenye Bunge Maalumu la Katiba, wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameanza kulipwa posho baada ya kurejea bungeni.  Wabunge hao ni John Shibuda na Letisia Nyerere.

Shibuda alifika bungeni juzi saa 5 asubuhi na kujiandikisha kwenye orodha ya wajumbe wa Bunge Maalumu, waliowasili tayari kuanza kujadili sura 15...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AWATAKA WABUNGE CHADEMA KURUDISHA POSHO WALIOZOCHUKUA BUNGENI

*Pia aagiza warudi bungeni haraka wakiwa na vipimo vyao vya majibu ya Corona
*Watakaogoma majina yao kukabidhiwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
SPIKA wa Bunge Job Ndugai amekunjua makucha yake kwa wabunge wa Chadema ambao wametoroka Bungeni wakiongozwa na Freeman Mbowe huku akiwataka warudi bungeni haraka iwezekanavyo na fedha za posho wamechukua kwa siku 14 wanatakiwa kuzirudisha kwa kuziweka katika akaunti ya Bunge.
Pia Spika Ngugai amewaagiza wabunge hao kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Posho juu bungeni

WAKATI Ikulu ikitangaza kuwa posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba haijaongezeka, Tanzania Daima imebaini kuwa imeongezeka kwa sh 140,000 kwa siku za Jumamosi na Jumapili tofauti na ilivyokuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wasioingia bungeni kukatwa posho

 Katibu wa Bunge, Dk Thomas KashililahMBUNGE ambaye hatashiriki shughuli za Bunge Maalumu, hatapewa posho maalumu, isipokuwa ataambulia Sh 80,000 za posho ya kawaida.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Posho kaa la moto bungeni

KINARA wa kudai nyongeza za posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Richard Ndassa, jana aliwashambulia waandishi wa habari kwa kuandika habari zinazowagombanisha na wananchi.  Alisema vyombo hivyo vinalitumia...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wadai posho watajwe, waondolewe bungeni’ -Wananchi

Baadhi ya wananchi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametaka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai nyongeza ya posho, wajiorodheshe ili waweze kufahamika kwa majina na wanakotoka.

 

11 years ago

Mwananchi

Malima akata makali posho za wajumbe watoro bungeni

Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima amesema kuna baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba walioko nje, wamekuwa wakijipitisha “pembezoni mwa ukuta wa Bunge na wengine kupiga mluzi kutaka marafiki zao wawaandike majina” ili wapate posho.

 

10 years ago

Mtanzania

Afande Sele: Nitakataa posho na mishahara minono bungeni

afandeSeleNa Festo Polea
MWANA hip hop na Bongo Fleva nchini, Afande Sele, ameweka wazi kwamba hata kama atakuwa mwakilishi wa wananchi katika bunge la mwakani, hataweza kuacha kufanya muziki kwa kuwa ndiyo njia ya kumuingizia kipato.
Alisema licha ya kuwa bungeni, atakuwa akitegemea zaidi fedha zinazotokana na muziki wake badala ya kufikiria mishahara minono na posho zinazopatikana bungeni.
“Kazi yangu ya muziki siwezi kuiacha, ndiyo itakayoniongoza katika maisha yangu, kwa kuwa nitakapokuwa bungeni...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

DIWANI WA CHADEMA AKATAA KUPOKEA POSHO ZA VIKAO

Diwani wa kata ya Gangilonga, Iringa Mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Daddy Igogo amesema hatapokea posho za vikao vyote vya baraza la madiwani katika kipindi chake cha miaka mitano na badala yake ametaka zitumike kuwasaidia watoto wanaoshi katika mazingira magumu katika kata yake.Diwani huyo mdogo kuliko madiwani wote wa halimashauri hiyo ambaye pia ni Mwalimu katika

 

10 years ago

Vijimambo

WACHOTA MAJI "TAKA" KWA MATUMIZI YA NYUMBANI

Mama huyu mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam, akichota maji yanayovuja kutoka kwenye bomba la la maji ambayo hata hivyo yamechanganyika na maji taka yanayotiririka kama yanavyoonekana kutoka kupande wa juu kushoto wa picha hii iliyopigwa Jumanne Aprili 15, 2015. Uchunguzi wa K-VIS blog umebaini kuwa maeneo ya Mabibo na Kigogo, yanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji ambapo sasa wakazi wake hususan akina mama na watoto wamekuwa wakiyatafuta hata yanapoonekana yakiwa kwenye mazingira ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani