DIWANI WA CHADEMA AKATAA KUPOKEA POSHO ZA VIKAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-LDqgsAay9Lc/Vn8HrFOuYUI/AAAAAAAAXhQ/dvfITfWhDew/s72-c/blogger-image--1712346059.jpg)
Diwani wa kata ya Gangilonga, Iringa Mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Daddy Igogo amesema hatapokea posho za vikao vyote vya baraza la madiwani katika kipindi chake cha miaka mitano na badala yake ametaka zitumike kuwasaidia watoto wanaoshi katika mazingira magumu katika kata yake.Diwani huyo mdogo kuliko madiwani wote wa halimashauri hiyo ambaye pia ni Mwalimu katika
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 May
Dk Shein akataa kuongeza posho BLW
9 years ago
StarTV18 Dec
Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku Posho Za Vikao Kwa Watendaji
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Galawa amepiga marufuku ulipaji wa posho za vikao vya kazi kwa wakuu wa idara na watendaji kutokana na utendaji usioridhisha.Aidha amewataka viongozi hao kukaa mara mbili kwa wiki ofisini, siku zilizobaki zikitumika kugagua kazi zilizofanywa na walio chini yao pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Agizo hilo linatolewa katika kikao cha ufunguzi wa baraza la madiwani wa halmashauri ya kongwa Galawa anafikia uamuzi huo kutokana na wilaaya hiyo...
9 years ago
StarTV25 Nov
 Mbunge wa Singida Magharibi atangaza kutochukua posho za  vikao vya bunge
Mbunge wa Singida Magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Elibariki Kingu ametangaza azma yake ya kutochukua posho za vikao vya Bunge kwa muda wa miaka mitano ili fedha hizo zikasaidie wananchi wake.
Uamuzi huo umekuja kwa kile alichodai kuwa, Serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi kugharamia mahitaji yasiyo ya lazima ikiwa ni pamoja na posho hizo wakati hayo yote ni sehemu ya majukumu yao.
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu akitoa mchanganuo wa fedha anazolipwa Mbunge mmoja kwa...
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Chadema wachota posho bungeni
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA FREDY AZZAH, DODOMA
WAKATI viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakiendelea kusisitiza kuwa hawatarudi kwenye Bunge Maalumu la Katiba, wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameanza kulipwa posho baada ya kurejea bungeni. Wabunge hao ni John Shibuda na Letisia Nyerere.
Shibuda alifika bungeni juzi saa 5 asubuhi na kujiandikisha kwenye orodha ya wajumbe wa Bunge Maalumu, waliowasili tayari kuanza kujadili sura 15...
9 years ago
Habarileo30 Nov
Diwani Chadema mbaroni
DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kata ya Mbuga, tarafa ya Mwaya wilayani Ulanga mkoani Morogoro, Mussa Madona, na wenzake sita wametiwa mbaroni na Polisi na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba sita za wananchi wa kijiji cha Iputi.
10 years ago
Habarileo04 Nov
Diwani wa Chadema apongeza serikali
DIWANI wa Kata ya Kilagano Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini (Chadema), Batholomew Mkwera, amepongeza serikali kwa kumaliza kero mbalimbali katika kata yake.
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Diwani CHADEMA awashukia viongozi
MWENYEKITI wa Madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kinondoni, Boniface Jacob amewashukia baadhi ya viongozi wa manispaa hiyo na mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutoa...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Diwani Chadema akisaliti chama
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Diwani CHADEMA akemea uhalifu
DIWANI wa Ilomba, Dickson Mwakilasa (CHADEMA) amesema vitendo vya uhalifu vinavyofanywa havipaswi kufumbiwa macho na wazazi wana wajibu wa kukemea tabia hiyo. Mwakilasa alitoa rai hiyo alipotoa kauli hiyo mjini...