Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yaibuka na mkakati mpya

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeweka bayana mkakati wake mpya wa kushika dola kwa kukita mizizi yake tangu ngazi ya shina hadi ya Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mkakati mpya CHADEMA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza mkakati mpya wa kupiga kambi katika mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara kikidai wananchi wake wametelekezwa kwa makusudi na Serikali ya Chama Cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkakati wa Chadema Oktoba

Siku moja baada ya katibu mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa kuwataka Watanzania wajiandae kwa “Serikali Mpya” aliyodai itapatikana Oktoba 31 baada ya Uchaguzi Mkuu, gazeti la Mwananchi limebaini mkakati wa ushindi unaopangwa na chama hicho cha upinzani.

 

10 years ago

Vijimambo

Mkakati wa Chadema kuingia Ikulu

Viongozi wa Chadema wakizungumza na vyombo vya habari siku za hivi karibuni. Picha na MaktabaDar es Salaam. Siku moja baada ya katibu mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa kuwataka Watanzania wajiandae kwa “Serikali Mpya” aliyodai itapatikana Oktoba 31 baada ya Uchaguzi Mkuu, gazeti la Mwananchi limebaini mkakati wa ushindi unaopangwa na chama hicho cha upinzani.Hadi sasa, Chadema ndio chama kinachoongoza kwa upande wa upinzani kulingana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita na wa Serikali za...

 

10 years ago

Mtanzania

Werema atangaza mkakati mbadala Katiba Mpya

Frederick Werema

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema

NA AGATHA CHARLES

OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imevunja ukimya tangu kuanza kwa awamu ya pili ya Bunge Maalumu la Katiba na kutangaza mkakati mbadala endapo Bunge hilo litashindwa kupata Katiba Mpya.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, alitangaza mkakati huo jana katika mkutano na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Haki na Utawala Bora jijini Dar es Salaam.

Jaji Werema alikuwa akizungumzia hatima ya upatikanaji...

 

11 years ago

Habarileo

Chadema: Katiba mpya itapatikana

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod SlaaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Katiba mpya ya Tanzania itapatikana na kusisitiza kuwa suala la kundi la wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea bungeni, linategemea utekelezaji wa masharti yao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Safu mpya CHADEMA ilete mageuzi

MACHO na masikio ya wanaoitakia mema nchi hii, wanautegemea uongozi mpya wa Chama cha Demokrasia na Maeneleo (CHADEMA) toka msingi, wilaya, mkoa na taifa, kukomeshe fedha za walalahoi zinazotafunwa na...

 

11 years ago

Mtanzania

Chadema waunda safu mpya Kigoma

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Na Editha Karlo, Kigoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kigoma, kimefanya uchaguzi na kuchagua viongozi wa chama hicho wa mkoa na wilaya.

Mkurugenzi Mkuu wa Oganaizesheni na Usimamizi katika chama hicho, Benson Kigaila ambaye alikuwa msimamizi wa uchaguzi huo, alisema ulifanyika kuziba mapengo yaliyoachwa wazi baada ya viongozi kujiuzulu.

Kigaila aliwataja viongozi waliochaguliwa ambao watashika madaraka hayo hadi uchaguzi utakapofanyika...

 

10 years ago

Habarileo

Baraza la Wazee Chadema lapata Mwenyekiti mpya

SAFU mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani