Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yajipanga uchaguzi wa udiwani

KATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa, amesema chama hicho kitahakikisha kinawapitisha wagombea wanaokubalika kwenye chaguzi za udiwani na wenyeviti wa serikali za vijiji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ULIOFANYIKA JANA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika jana katika kata 27 na CCM kushinda kata 23. 
Akitoa shukrani hizo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema leo kwamba siri ya CCM kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu. Nape alisema CCM...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yajipanga

HUKU Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikijipanga kuweka safu mpya ya uongozi kitaifa ifikapo Agosti 31, imebainika kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana ndani ya chama hicho chini ya Mwenyekiti, Freeman...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yajipanga upya

KATIKA kuhakikisha uchaguzi mkuu wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), unaendeshwa kwa uwazi na umakini ili kuepuka mitego ya kuchomekewa wasaliti, chama hicho kimejipanga upya na kuusogeza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Mwanza yajipanga kuikabili CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Mwanza kimeandaa mbinu mbaya za kukiangamiza Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ADC yajipanga uchaguzi Serikali za Mitaa

CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinatengeneza mikakati mbalimbali ya kushinda viti vingi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu pamoja na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwakani. Akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema sasa yajipanga kupiga kambi jimbo la Sitta

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la Vijana Taifa (Bavicha), kimetangaza mkakati wa kwenda kuweka kambi kwenye Jimbo la Urambo Mashariki linaloongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta.

Lengo la chama hicho ni kuwaeleza namna kiongozi huyo alivyochakachua Rasimu ya maoni ya Watanzania.

Mkakati huo ulitangazwa jana na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, Patrobas Katambi na Katibu wa Baraza hilo, Julius...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yajipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa marudio Zanzibar

Wakati kamati maalumu ya kutatua mkwamo wa kisiasa Zanzibar ikiendelea na mazungumzo, CCM imewataka wafuasi wake visiwani humo kujiandaa na Uchaguzi Mkuu wa marudio ili kukiletea chama hicho ushindi wa kishindo utakapofanyika.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yapangua ratiba fomu za ubunge, udiwani

Dk Willbrod SlaaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelazimika kupangua ratiba ya awali ya uchukuaji fomu za ubunge na udiwani kwa wanachama wake, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza majimbo mapya 26 ya uchaguzi hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani