CHADEMA yajipanga upya
KATIKA kuhakikisha uchaguzi mkuu wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), unaendeshwa kwa uwazi na umakini ili kuepuka mitego ya kuchomekewa wasaliti, chama hicho kimejipanga upya na kuusogeza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Majimaji sasa yajipanga upya
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
CHADEMA yajipanga
HUKU Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikijipanga kuweka safu mpya ya uongozi kitaifa ifikapo Agosti 31, imebainika kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana ndani ya chama hicho chini ya Mwenyekiti, Freeman...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
CHADEMA yajipanga uchaguzi wa udiwani
KATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa, amesema chama hicho kitahakikisha kinawapitisha wagombea wanaokubalika kwenye chaguzi za udiwani na wenyeviti wa serikali za vijiji...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
CHADEMA Mwanza yajipanga kuikabili CCM
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Mwanza kimeandaa mbinu mbaya za kukiangamiza Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
10 years ago
Vijimambo07 Oct
Chadema sasa yajipanga kupiga kambi jimbo la Sitta
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Samuel-Sitta--Ocxtober7-2014.jpg)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la Vijana Taifa (Bavicha), kimetangaza mkakati wa kwenda kuweka kambi kwenye Jimbo la Urambo Mashariki linaloongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta.
Lengo la chama hicho ni kuwaeleza namna kiongozi huyo alivyochakachua Rasimu ya maoni ya Watanzania.
Mkakati huo ulitangazwa jana na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, Patrobas Katambi na Katibu wa Baraza hilo, Julius...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
CHADEMA yatakiwa kujipanga upya kudhibiti kura
UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga, umeshauri chama hicho kuwa na mikakati na mbinu mpya katika kudhibiti udanganyifu na wizi wa kura unaofanywa na Chama...
10 years ago
Mtanzania06 Feb
CCM yajipanga 2015
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
JOTO la Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), limezidi kupamba moto, baada ya watendaji wa chama hicho na jumuiya zake ngazi ya mikoa kutakiwa kutoondoka katika vituo vyao vya kazi.
Mbali na hilo pia watendaji wa chama hicho ambao wamekwenda likizo wametakiwa kurejea katikia vituo vyao vya kazi hadi kufikia Februari 28, mwaka huu.
Hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM taifa, Abdulrahman Kinana, ambayo imeshusha...
11 years ago
BBCSwahili23 Dec
Majeshi Sudan K. yajipanga kupigana
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
TBS yajipanga kuwahudumia wateja
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limesema limejipanga kuwahudumia watanzania na wateja wake kwa kutoa huduma bora. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa TBS, Roida Andusamile,...