Majimaji sasa yajipanga upya
Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, timu ya Majimaji imeweka mkakati mpya wa kupata jumla ya pointi nne katika mechi nne zinazofuata.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
CHADEMA yajipanga upya
KATIKA kuhakikisha uchaguzi mkuu wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), unaendeshwa kwa uwazi na umakini ili kuepuka mitego ya kuchomekewa wasaliti, chama hicho kimejipanga upya na kuusogeza...
11 years ago
Vijimambo07 Oct
Chadema sasa yajipanga kupiga kambi jimbo la Sitta

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la Vijana Taifa (Bavicha), kimetangaza mkakati wa kwenda kuweka kambi kwenye Jimbo la Urambo Mashariki linaloongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta.
Lengo la chama hicho ni kuwaeleza namna kiongozi huyo alivyochakachua Rasimu ya maoni ya Watanzania.
Mkakati huo ulitangazwa jana na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, Patrobas Katambi na Katibu wa Baraza hilo, Julius...
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Pikipiki kusajiliwa upya, sasa kupewa namba ‘TZ’ badala ‘T’
10 years ago
Mwananchi04 Aug
Uandikishaji BVR umemalizika, NEC sasa ijipange upya
10 years ago
Habarileo05 Aug
Majimaji kutosajili makapi
UONGOZI wa Majimaji umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji watakaotemwa kwenye timu zao, bali wanalenga kwa vijana ambao wana uwezo na kiwango cha hali ya juu.
10 years ago
Mwananchi31 Jul
Kocha Mzungu atua Majimaji
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Vipigo vyamrudisha Mzungu Majimaji
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Kocha Majimaji abaini kasoro
10 years ago
MichuziSIMBA YAIKAUSHA MAJIMAJI YA SONGEA 6-1