Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yampinga Mgimwa

>Chama cha Demokrasia na Maendeeo (Chadema)kimemwekea Pingamizi Mgombeda wa Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia (CCM) Godfrey Mgimwa kuwa si raia wa Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mgimwa, Chifu wawaponda Chadema

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya uzinduzi rasmi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kalenga huku Chifu wa Wahehe, Abdu Sapi Mkwawa akikisuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kutoa taarifa za uongo kwamba anamuunga mkono mgombea wao, Grace Tendega.

Katika uchaguzi huo, CCM imemsimamisha Godfrey Mgimwa, mtoto wa marehemu Dk William Mgimwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, baada ya kushinda kwa kishindo kura za maoni za chama hicho dhidi ya wagombea wengine...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Mgimwa haijui Kalenga

MENEJA Kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kalenga, Alphonce Mawazo, amewataka wananchi wa jimbo hilo kutopoteza kura zao kumchagua mgombea wa CCM,...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema watoa fomu mrithi wa Dk Mgimwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza kutoa fomu za uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa huku kikijinadi kuibuka na ushindi kwenye uchaguzi huo utakaofanyika Machi 16.

 

11 years ago

GPL

CHADEMA WAOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi na Mbunge wa Kalenga, Dkt. William Mgimwa ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu Afrika Kusini. Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatuma salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kuondokewa na msaidizi wake wa karibu na mtumishi mwenzake serikalini. Chama kinatoa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Republican yampinga Obama

Chama cha Republican Marekani kimepinga uamuzi wa Rais Obama kutaka kuwapa uraia wahamiaji.

 

11 years ago

Michuzi

GODFREY MGIMWA AANZA KUPANGUA MAKOMBORA YA CHADEMA ADAI YEYE NI RAIA MZALENDO WA TANZANIA

Mgimwa wa pili kulia, akifurahi pamoja na wana CCM wenzake, siku ya kwanza ya kampeni zake kuwania ubunge jimbo la Kalenga iliyofanyika katika kijiji cha Mseke  -------------------------------- Na Francis Godwin
MGOMBEA ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amesema hana chembechembe yoyote ya uzungu na amekishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kumtuhumu kwamba sio mtanzania..
"Kama kila mtanzania anayekwenda nje ya nchi kusoma anapoteza...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: CHADEMA KALENGA WAJUMBE WAMCHAGUA MWANASHERIA MWENDA KUMVAA MTOTO WA MGIMWA

Wajumbe  wa mkutano  mkuu wa kura za maoni jimbo la Kalenga  wa CHADEMA jioni hii wametegua kitendawili  cha nani kati ya  makada 13 atakayevaana na mgombea wa CCM katika uchaguzi huo baada ya kumchagua  mwanasheria Sinkala Mwenda kwa kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani  wake wa karibu Grace Tendega huku  Zuberi Mwachura  akiambulia   0 katika uchaguzi huo uliofanyika mjini Iringa.


 

10 years ago

GPL

MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani