CHADEMA yaonya Tanzania kutumiwa na waasi wa FLDR
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa msimamo wake kuhusu mahusiano yanayolegalega kati ya Tanzania na Rwanda, huku kikitaka ukweli ujulikane na suluhu itafutwe ili nchi hizo jirani zisiingie katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Dec
Chadema yaonya waandishi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimevitaka vyombo vya habari nchini kuwa makini na aina ya uandishi wa habari na kuepuka kuandika habari za chuki na zile zinazoweza kuvuruga amani na uelewano.
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
CHADEMA yaonya wagombea
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema wagombea wa nafasi za kitaifa hawaruhusiwi kukutana na wajumbe wapiga kura waliyoko mikoani, kwani kwa kufanya hivyo kuna mianya ya rushwa na atakayebainika...
11 years ago
Habarileo25 Jan
Chadema yaonya viongozi wanaokiuka katiba
CHAMA cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema ) kimewaonya viongozi wake, wakiwemo wabunge kuwa hakitasita kuwachukulia hatua za kinidhamu iwapo watabainika kwenda kinyume na Katiba na taratibu za chama hicho.
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Chadema wang’ang’ania maandamano, polisi yaonya
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Serikali ya Tanzania yaonya kuhusu ugaidi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vlKUFPodnGV1sPBx9x1oTg8D-y7eh6mqYaKaQ96PHuXPFy3vmOW9ReCYpYIPEuhwFSMyIW5m1o6fZ1dDqQuwuxGx1c5ysgvH/JamilMukulu.jpg)
KIONGOZI WA WAASI WA ADF ATIWA MBARONI NCHINI TANZANIA
10 years ago
Vijimambo12 Nov
KATIBU WA CHADEMA DMV, MAREKANI, ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CHADEMA TANZANIA
Katibu wa tawi la CHADEMA DMV, Marekani, Ndugu Liberatus Mwang'ombe amefanya ziara ya kutembelea makao makuu ya CHADEMA jijini Dar Es Salaam.
Katika ziara hiyo Ndugu Liberatus Mwang'ombe aliweza kufanya mkutano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa na mratibu wa mambo ya wabunge wa CHADEMA, Ndugu John Mrema.
Ndg. Liberatus Mwang'ombe alipata fursa ya kujadiliana mambo mbalimbali na Katibu mkuu wa CHADEMA Taifa Dr Wilbroad Slaa hosusani changamoto zinazo wakabili Watanzania kwa ujumla na...
10 years ago
Habarileo13 Jun
‘Vijana kataeni kutumiwa na wanasiasa’
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tabora mjini, Moshi Nkonkota ameshauri vijana kujitambua na kutokukubali kutumika kama daraja na wanasiasa wabinafsi katika kutafutia uongozi.
10 years ago
BBCSwahili03 Dec