Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yaonya wagombea

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema wagombea wa nafasi za kitaifa hawaruhusiwi kukutana na wajumbe wapiga kura waliyoko mikoani, kwani kwa kufanya hivyo kuna mianya ya rushwa na atakayebainika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chadema yaonya waandishi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimevitaka vyombo vya habari nchini kuwa makini na aina ya uandishi wa habari na kuepuka kuandika habari za chuki na zile zinazoweza kuvuruga amani na uelewano.

 

11 years ago

Habarileo

Chadema yaonya viongozi wanaokiuka katiba

CHAMA cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema ) kimewaonya viongozi wake, wakiwemo wabunge kuwa hakitasita kuwachukulia hatua za kinidhamu iwapo watabainika kwenda kinyume na Katiba na taratibu za chama hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaonya Tanzania kutumiwa na waasi wa FLDR

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa msimamo wake kuhusu mahusiano yanayolegalega kati ya Tanzania na Rwanda, huku kikitaka ukweli ujulikane na suluhu itafutwe ili nchi hizo jirani zisiingie katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema wang’ang’ania maandamano, polisi yaonya

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesisitiza kufanya maandamano kuanzia leo hadi Ijumaa wiki hii licha ya Polisi kuyapiga marufuku.

 

10 years ago

KwanzaJamii

CHADEMA YAWAONYA WAGOMBEA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema wagombea wa nafasi za kitaifa hawaruhusiwi kukutana na wajumbe wapiga kura waliyoko mikoani, kwani kwa kufanya hivyo kuna mianya ya rushwa na atakayebainika ataondolewa kwenye kinyang’anyiro. Chama hicho, pia kimesisitiza kuwa suala la kugombea ni hiari ya kila mwanachama wala sio suala la uongozi wa ngazi yoyote ya chama, hivyo kila mgombea atekeleze wajibu kwa kujaza fomu, kuzilipia na kuzifikisha ofisini kwa utaratibu...

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema yatangaza wagombea ubunge

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya wagombea ubunge katika majimbo 135 yaliyoteuliwa na Kamati Kuu yakiwamo ya wabunge na makada wa CCM waliohamia katika chama hicho.

 

10 years ago

Habarileo

Mchujo wagombea Chadema waanza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinaanza kufanya mchujo kwa watu 284 waliojitokeza kuwania kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye chama hicho.

 

9 years ago

Mtanzania

Wagombea ubunge Chadema hadharani

Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepitisha majina ya wagombea ubunge wa chama hicho katika mikoa mbalimbali chini ya mwamvuli wa Ukawa.

Katika uteuzi huo, baadhi ya wanasiasa na wanahabari wamefanikiwa kupenya katika chekeche la mchujo wa chama hicho na kufanikiwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika, iliwataja wanachama...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM, Chadema wagombea mradi wa maji

Uzinduzi wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda Kwimba, umesababisha mvutano kati ya mbunge wa Kwimba, Hanif Mansoor (CCM) na mbunge wa viti maalumu, Leticia Nyerere (Chadema).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani