Changamkia fursa ya kwenda Saadani
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
11 years ago
Mwananchi11 Apr
MAONI: Kanda ya Ziwa changamkia fursa hii
>Jana ilikuwa siku ya kihistoria kwa kampuni na wafanyakazi wa Mwananchi Communications Ltd (MCL), inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen.
10 years ago
GPL
10 years ago
GPL
SUBARU VAN INAUZWA, CHANGAMKIA!
SUBARU, YA MWAKA 2007, MANUAL GEAR. IKO KATIKA HALI NZURI. NYUMA IMEONDOLEWA VITI KWA AJILI YA NAFASI YA KUBEBEA MIZIGO. INAFAA KWA WAFANYA BIASHARA ZA KUBEBA BIDHAA MBALIMBALI. BEI NI MILIONI 6 TU. CHANGAMKIA SASA, IKO DAR, MBEZI. PIGA SIMU: +255 657 839363
10 years ago
GPL
WATEJA WA VODACOM CHANGAMKIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Dar es Salaam, Tanzania, Januari 15, 2015:Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions ambayo ilizinduliwa juzi ili waweze kujishindia mamilioni ya fedha kwa kuwa droo ya kwanza iliyofanyika leo/jana mshindi wa milioni 100/- hakupatikana wakiwemo washindi kumi wa...
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Upekee wa Hifadhi ya Saadani usiotangazwa
Kila hifadhi ya taifa ina upekee wake. Na hicho hukifanya kuwa kivutio kwa watalii. Hifadhi ya Taifa ya Saadani ina vivutio vya kihistoria kama vile wanyama, mito na bahari. Nadhani ni hifadhi pekee inayoweka pamoja vivutio vyote.
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
TASJA yataka Saadani kutunza mazingira
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Sayansi (TASJA), kimewataka wakazi wanaoishi eneo la Hifadhi ya Saadani, kuhifadhi mazingira ya Mbuga hiyo ili iweze kuendelea kuwa historia hadi katika vizazi vijavyo....
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Serikali yamaliza mgogoro Hifadhi ya Saadani
NA CHRISTOPHER LISSA
HATIMAYE serikali imeumaliza rasmi mgogoro wa ardhi uliodumu kwa kipindi kirefu baina ya Wizara ya Maliasiali na Utalii na Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, unaohusisha eneo Hifadhi ya Taifa ya Saadani.
Aidha serikali imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo , kukaa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na wadau, kurejea mipaka ya zamani ya eneo hilo, ili kuepusha mgongano usio na tija.
Mgogoro huo uliibuka mwaka mwaka 2005, baada ya serikali kuipandisha...
11 years ago
Mwananchi03 Nov
Saadani: Hifadhi ya kipekee nchini iliyokosa watalii
Unapozungumzia hifadhi 16 za taifa, Mbuga ya Saadani siyo maarufu masikioni mwa Watanzania wengi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania