Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yamaliza mgogoro Hifadhi ya Saadani


NA CHRISTOPHER LISSA
HATIMAYE serikali imeumaliza  rasmi mgogoro wa ardhi  uliodumu kwa kipindi kirefu  baina ya Wizara ya Maliasiali na Utalii  na Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, unaohusisha eneo Hifadhi ya  Taifa ya Saadani.
Aidha  serikali  imeiagiza Halmashauri  ya Wilaya ya Bagamoyo , kukaa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  na wadau,  kurejea  mipaka ya zamani  ya eneo hilo, ili kuepusha mgongano usio na tija.
Mgogoro huo uliibuka mwaka  mwaka 2005,  baada ya serikali kuipandisha...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WAFANYABIASHARA JUU YA MATUMIZI YA EFDs

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja wafanyabiashara alipotoa Taarifa ya muafaka uliofikiwa kati ya wafanyabiashara na serikali juu ya Matumizi ya Mashine za kielektroniki (EFDs) leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabishara Bw. Johnson Minja na Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mzee Benard Mchovu (Picha na Regnihaldah Mpete-TRA)
Na Anitha Jonas – MAELEZO.
Serikali yafikia muafaka...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yamaliza mgogoro wa timu ya soka ya Shinyanga Stand United

un2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hatua zilizofikia katika kutatiua mgogoro baina ya Timu ya Stand Unite ya mjini Shinyanga na kamati ya uendeshaji ya timu hiyo iliyopo chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHUSM.un1Baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji ya timu ya Stand United ya mjini Shinyanga wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Habaroi,...

 

10 years ago

Mwananchi

Upekee wa Hifadhi ya Saadani usiotangazwa

Kila hifadhi ya taifa ina upekee wake. Na hicho hukifanya kuwa kivutio kwa watalii. Hifadhi ya Taifa ya Saadani ina vivutio vya kihistoria kama vile wanyama, mito na bahari. Nadhani ni hifadhi pekee inayoweka pamoja vivutio vyote.

 

10 years ago

Mwananchi

Saadani: Hifadhi ya kipekee nchini iliyokosa watalii

Unapozungumzia hifadhi 16 za taifa, Mbuga ya Saadani siyo maarufu masikioni mwa Watanzania wengi.

 

11 years ago

Mwananchi

Emslies yamaliza mgogoro na Ravji

Kampuni ya Emslies Limited ya mjini Moshi imeilipa kampuni ya Ravji Construction Ltd (RCL), Sh417.9 milioni na kumaliza mvutano uliodumu kwa miaka minne.

 

10 years ago

Habarileo

Kamala: Mgogoro Loliondo unashughulikiwa na Serikali

BALOZI wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk Diodorus Kamala ameliambia baraza la mabalozi wa nchi za kundi la Afrika, Caribbean na Pasifiki (ACP) kuwa Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo la Loliondo.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yakwaa kisiki Hifadhi ya Serengeti

>Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), imeizuia Serikali ya Tanzania kujenga barabara ya lami kupitia Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, ikieleza kuwa ujenzi huo utaathiri mazingira, maisha ya wanyamawwpori na baoanuai ya hifadhi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii

Tunalazimika tena leo kuitahadharisha Serikali kuhusu athari zinazotokana na utamaduni wake wa kutolipa madeni.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yajipanga kulipa mifuko ya hifadhi

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka.SERIKALI imesema inaandaa utaratibu wa kulipa fedha zote inazodaiwa na mifuko ya hifadhi ya jamii nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani