Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheka, Rogasian waibuka mabondia bora wa 2013

Dar es Salaam. Mabondia, Francis ‘SMG’ Cheka na Gelvas Rogasian wameibuka vinara na kutwaa tuzo za mabondia bora wa mwaka 2013 katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika juzi usiku kwenye Ukumbi wa PTA, Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

9 years ago

Michuzi

MABONDIA THOMAS MASHALI NA FRANSIC CHEKA WASAINI KUZIDUNDA DESEMBA 25 JAMUHURI MOROGORO


Promota Kaike Silaju katikati akiwainuwa mikoni juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakionesha mikataba yao baada ya kusaini kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

MABONDIA CHEKA, MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA; KING CLASS MAWE AMSAMBARATISHA MUSTAFA DOTO

Bondia Francis  Cheka (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Jumamosi jijini Dar es salaam. Mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya kufungana point Bondia Francis  Cheka kushoto akipambana na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya...

 

11 years ago

Michuzi

MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA

Bondia Mustafa Dotto (kushoto)  akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi katikati ni Promota Jay Msangi  Bondia Ibrahimu  'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam  Bondia Sukkasem Kietyongyuth kushoto akiwa na kocha wake Win Panyaparichot wakati wa upimaji uzito Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA WA U.B.O AFRICA FEB 28

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Mabondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika feb 28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaamMabondia...

 

11 years ago

GPL

IDDY MNYEKE VS COSMAS CHEKA, KING CLASS MAWE VS MOHAMED KASHINDE DES 31, 2013

Bondia Iddy Mnyeke akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala  Amana CCM, Dar es Salaam. Mabondia hao watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao ambapo Mnyeke atacheza na Cosmas Cheka na 'King Class Mawe' atazidunda na Mohamed Kashinde Desemba 31 mwaka huu katika ukumbi wa Msasani Club. Kulia ni kocha mkongwe Habibu Kinyogoli 'Master' (Picha na SUPER D) ...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO ya ngumi kupata mabondia 10 bora mkoa wa Dar es salaam yashika kasi

Mabondia Said Kasimu wa Amana kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamad Mbonde wa Magereza wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora ya kila uzito kwa mabondia jijini Dar es salaa yanayoandaliwa na chama cha ngumi za Ridhaa mkoa wa Dar, DABA Kassimu alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Hamad Mbonde wa Magereza kushoto akipiga ngumi bila matumaini yoyoyo na mwenzake Said Kassimu  wa Amana akimpiga konde la kulia wakati wa mashindano ya kumi...

 

11 years ago

Mwananchi

Shule bora 20 za Serikali 2013

Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne yaliyotoka hivi karibuni yanaweza kutazamwa kwa sura mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani