Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule bora 20 za Serikali 2013

Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne yaliyotoka hivi karibuni yanaweza kutazamwa kwa sura mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akiongea na wadau mbalimbali wa elimu wa mkoa wa Dar es salaam wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari,wamiliki wa shule binafsi na wanafunzi wakati wa hafla ya Siku ya Elimu mkoani Dar es salaam leo.Katika hafla hiyo washindi wa mitihani ya taifa kwa mwaka 2013 kutoka shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi wametunukiwa vyeti na zawadi mbalimbali kutokana na ufanisi wao katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwambusi Kocha Bora 2013/14

KOCHA wa timu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, ameibuka Kocha Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofikia tamati Aprili 19, mwaka huu. Kwa ushindi huo, Mwambusi alijitwalia kitita cha sh...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Mchezaji bora wa dunia 2013

Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo jana usiku alinyakua tuzo ya mchezajii bora wa soka wa fifa wa mwaka 2013.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni ipi filamu bora zaidi ya 2013?

Filamu ''12 Years a Slave'', ni miongoni mwa filamu zinazopigiwa upatu kupata tuzo la filamu bora zaidi katika tamasha la filamu bora zaidi la Uingereza

 

11 years ago

Mwananchi

Cheka, Rogasian waibuka mabondia bora wa 2013

Dar es Salaam. Mabondia, Francis ‘SMG’ Cheka na Gelvas Rogasian wameibuka vinara na kutwaa tuzo za mabondia bora wa mwaka 2013 katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika juzi usiku kwenye Ukumbi wa PTA, Sabasaba jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

VODACOM MWAJIRI BORA TANZANIA MWAKA 2013‏

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akikabidhi kwa Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim kombe la Mwajiri Bora wa Mwaka 2013 mara baada ya kampuni hiyo kutangazwa kuwa mwajiri bora wa mwaka 2013 iliyotolewa na Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE). Nyuma ya Makamu wa Rais ni Makamu Mwenyekiti wa ATE Zuhura Sinare. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Vodacom Tuzo hizo zimetolewa Wakati wa chakula cha usiku...

 

11 years ago

GPL

NJIA BORA YA KUTIMIZA MALENGO YALIYOKWAMA MWAKA 2013 - 2

MUNGU ni mwema maishani mwangu, hakika namshukuru kwa kila kitu akitendacho kwangu. Ahsante baba. Tunaendelea na mada yetu tuliyoanza nayo wiki iliyopita. Ni mada ambayo hakika imegusa wengi. Nimekuwa nikipokea simu mfululizo kutoka kwa wasomaji wakipongeza na kutaka kujifunza mengi. Kuna tuliobadilishana nao mawazo, nashukuru kuona kuwa mada iliwagusa. Ni kweli. Lazima kuwepo na nguvu au sababu inayokusukuma au kukushawishi...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014

Dk. Maria Kamm akiwasii ndani ya Ukumbi wa African Dreams. Mama Magreth Sitta (kushoto) akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa alipowasili ukumbini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani