Chenge: Mimi ni nyoka, Asema ni yule mwenye makengeza, Asisitiza kuwa ni mtafuta fedha
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, ‘amefunguka’ kuhusu kashfa inayomkabili ya kupata mgawo wa Sh. bilioni 1.6 kutoka kwenye fedha zilizochotwa kifisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), akisema hastahili kuitwa mwizi, bali anapaswa kuitwa ‘nyoka wa makengeza’.
Amesema anapaswa kuitwa ‘nyoka wa makengeza’ kwa kuwa yeye ni mjanja wa kutafuta fedha kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake, ambao wanapaswa kupuuza madai ya wizi yanayoelekezwa kwake,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNINGEKUWA MIMI CHENGE,NISINGEDIRIKI KUJIITA NYOKA MWENYE MAKENGEZA
10 years ago
Mwananchi22 Feb
KONA YA MAKENGEZA: Nisipokataa ukatili, na mimi mkatili
10 years ago
GPLNINGEKUWA MIMI CHENGE, NISINGESUBIRI KUWAJIBISHWA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/WrRDzyORG5s/default.jpg)
MTOTO WA NYOKA NI NYOKA TUUUUU LeBron James Jr.
Jitiririshe na video hii na utakubari usemi wa mtoto wa nyoka ni nyoka jinsi mtoto wa LeBron James jersey number 0 {LeBron James Jr} alivyo na kipaji kama baba yake. The apple never falls far from the tree.
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Profesa Muhongo: Mwenye uwezo wa kuikwamua Tanzania ni mimi
* Atangaza nia kwa kutoa takwimu za umasikini na utajiri
*Asema viwanda, gesi, umeme utaipaisha Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Musoma
WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo, ametangaza nia rasmi ya kuwaomba Wana CCM kumteua kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba, huku akisema ni yeye pekee mwenye uwezo wa kuikwamua nchi katika hali mbaya ya umasikini na ukosefu wa wataalamu, hali inayoifanya nchi ishindwe kupiga hatua.
Pamoja na mambo mengine, Muhongo...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/lx7J7UEjPT0/default.jpg)
PNC SHINO Yule yule 2015 Tanzanian Music Official video
Singer Name:- Pnc
Song Name:- Yule Yule
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- Saimako
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Baraza la Mawaziri ni sheikh yule yule katika kanzu mpya!
WASWAHILI watakuambia ni sheikh yule yule ndani ya kanzu mpya. Wazungu watakuambia ni mvinyo ule ule kwenye chupa mpya. Naam, hilo ndilo Baraza la Mawaziri lililorekebishwa. Watu walikuwa macho wazi...
10 years ago
Habarileo29 Nov
Werema asisitiza fedha za Escrow si za umma
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Federick Werema, amesema kwa msimamo wake, fedha za akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hazikuwa za umma na sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), ni upuuzi.
9 years ago
Bongo517 Nov
Mimi ni mtu mwenye aibu sana kiasi ambacho watu huhisi najisikia – B12
![11191079_151146088570015_1052326676_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11191079_151146088570015_1052326676_n-300x194.jpg)
Mtangazaji mahiri wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Hamis Mandi aka B12 amesema watu wengi humfirikia tofauti na alivyo.
B-Dozen amesema watu wengi huhisi ni mtu mwenye kujisikia na asiyependa kujichanganya na watu.
“Watu hunifikiria tofuti na nilivyo,” Dozen ameliambia gazeti la Mwananchi. “Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Mara nyingi kama mtu simjui vizuri inanipa wakati mgumu kutoa ushirikiano kutokana na kuwa huwa najishtukia,” aliongeza.
“Sio kama najitenga ni udhaifu wangu unasababisha...