Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHID BENZI AKIRI KULIA STUDIO

Stori: Mwandishi Wetu
RAPA mwenye jina kubwa katika Bongo Fleva, Rashid Makwiro maarufu kama Chid Benz, amekiri kutoa machozi wakati wa mahojiano redioni baada ya kupatwa na hisia kali, akikumbuka mambo mbalimbali ya maisha. Rapa mwenye jina kubwa katika Bongo Fleva, Rashid Makwiro maarufu kama Chid Benz (kushoto) akiwa na 'Diamond'.
“Nilikuwa namzungumzia Diamond, alinikumbusha mambo mengi, ni mchapakazi, anajituma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KESI YA CHID BENZI YAAHIRISHWA HADI DESEMBA MOSI

Chid Benz (kushoto mwenye shati la bluu) akiingia katika lango la mahakama. ...Akiingia katika chumba cha kusikiliza kesi inayomkabili.…

 

10 years ago

Mwananchi

Chid Benz sasa akiri kosa mahakamani

Mwanamuziki Rashidi Abdallah Makwaro ‘Chid Benz’(29) amekiri mashtaka matatu yanayomabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kukutwa na dawa za kulevya, kifuu cha nazi na kijiko vinavyotumika kuvutia ama kunusa dawa hizo za kulevya.

 

10 years ago

Michuzi

MSANII CHID BENZ AKIRI MASHITAKA YAKE MAHAKAMANI LEO

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (bongo fleva), Rashidi  Makwaro (29), maarufa kama Chid Benz leo amekiri mahakamani mashitaka matatu yanayomkabili ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Chid Benz alikiri mashitaka hayo baada ya kusomewa upya hati yake ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu,  Warialwande Lema.
Hakimu Lema alisema kwa kuwa mshtakiwa amekiri mashitaka yake mahakama yake...

 

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI CHID BENZ AKIRI MASHITAKA YAKE MATATU MAHAKAMANI LEO

Rashidi Makwiro (29), maarufu kama Chid Benz akiwa eneo la mahakama. (Picha na Maktaba yetu) MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva), Rashidi Makwiro (29), maarufu kama Chid Benz leo amekiri mahakamani mashitaka matatu yanayomkabili ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae. Chid Benz alikiri mashitaka hayo baada ya kusomewa...

 

10 years ago

CloudsFM

Chid Benz akiri kukutwa na madawa ya kulevya mahakamani,asubiri hukumu

Msanii wa Hip Hop,Bongo Chid Benz (29), amekiri mashtaka matatu yanayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ya kukutwa na dawa za kulevya, kifuu cha nazi na kijiko vinavyotumika kuvutia ama kunusa dawa hizo.
Chid Benz alikiri hivyo juzi Jumatano mbele ya Hakimu Mkazi, Waliarwande Lema baada ya kuomba asomewe tena mashtaka yake. Aliomba hivyo muda mfupi baada ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo na Wakili wa Serikali, Diana Lukendo aliyesema upelelezi haujakamilika...

 

10 years ago

GPL

FARHIA MIDDLE AKIRI KUTWANGANA STUDIO

Mtangazaji wa Redio One na ITV, Farhia Middle. Brighton Masalu
IMEVUJA! Mtangazaji wa Redio One na ITV, Farhia Middle, amewahi kuzitwanga laivu akiwa hewani.
Farhia alifungukia ishu hiyo alipoulizwa na mwanahabari wetu kwamba ni tukio gani lililomtokea kazini ambalo hatalisahau ndipo alipoweka bayana kuwa tukio hilo lilitokea mwaka 2011 wakati alipokuwa anaitumikia Redio ORS ya Simanjiro, Manyara baada ya mtangazaji mwenzake...

 

10 years ago

Bongo5

Chid Benz na Fid Q kufanya album ya pamoja, Chid aizungumzia project hiyo

Wakali wa Hip Hop Tanzania Rashid na Fareed a.k.a Chid Benz na Fid Q wana mpango wa kurekodi album ya pamoja. Chid ambaye ameachia ngoma mpya wiki hii ‘Kimbiza’, ameiambia 255 ya XXL ya Clouds Fm kuwa mpango wa kufanya album na Fid lilikuwa ni wazo lake. “Ni idea yangu nilikuwa nayo kabla sijatoa ngoma, […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chidi Benzi: Wadau wanashusha usanii

MKALI wa muziki wa hip hop nchini, Rashid Makwilo ‘Chidi Benzi’, amesema tatizo la baadhi ya wadau wa muziki kutengeneza wasanii wao, kunawafanya wasanii wenye vipaji kukosa nafasi. Akizungumza jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani