FARHIA MIDDLE AKIRI KUTWANGANA STUDIO
Mtangazaji wa Redio One na ITV, Farhia Middle. Brighton Masalu IMEVUJA! Mtangazaji wa Redio One na ITV, Farhia Middle, amewahi kuzitwanga laivu akiwa hewani. Farhia alifungukia ishu hiyo alipoulizwa na mwanahabari wetu kwamba ni tukio gani lililomtokea kazini ambalo hatalisahau ndipo alipoweka bayana kuwa tukio hilo lilitokea mwaka 2011 wakati alipokuwa anaitumikia Redio ORS ya Simanjiro, Manyara baada ya mtangazaji mwenzake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLFARHIA MIDDLE AKIRI KULIZWA NA MAPENZI
11 years ago
GPL
CHID BENZI AKIRI KULIA STUDIO
11 years ago
GPLKARAMA NYILAWILA KUTWANGANA NA SAID MBELWA MEI 24, 2014
11 years ago
GPL
TAMASHA LA MATUMAINI 2014: WABUNGE KUTWANGANA ‘LIVE’
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Q-Chillah,TID wataka kutwangana kisa,ngoma mpya ya Ali Kiba
Mastaa wa Bongo Fleva,Q-Chillah na TID mwishoni mwa wiki hii walitaka kutwangana walipokutana katika Klabu moja usiku.
Kwa mujibu wa Q-Chillah akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown alisema kuwa alikwenda kwenye klabu hiyo kuangalia shoo iliyokuwa ikifanyika kwenye lakini baadaye aliamua kutoka nje kucheza ‘pool table’ ndipo alipomuona TID.
10 years ago
VijimamboMABONDIA WAPIMA UZITO KUTWANGANA KESHO PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI
11 years ago
TheCitizen19 Jul
Too much sleep in middle age is as bad for you as too little
10 years ago
Income Country By 2025'16 Dec
'Tanzania focused to morph into middle
IPPmedia
Zanzibar's second Vice President, Seif Ali Iddi has reiterated that Tanzania has its vision set high to graduate to a middle-income country by 2025. Iddi was speaking at the opening of a three-day International Conference on Social Protection which began in ...