Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chidi Benz azungumzia kesi yake na video ya ‘Mpaka Kuchee’

Rapper Chidi Benz anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na madawa ya kulevya, amesema kesi hiyo imeathiri kufanyika kwa video ya wimbo wake ‘Mpaka Kuchee’ aliyowashirikisha Diamond na AY. Chidi alikuwa akiongea na Bongo5 jana kwenye uzinduzi wa video ya Wakazi ‘Wanawake wa Dar’. “Video inakuja, bado sijaanza kufanya mazungumzo na AY wala Diamond ambao nipo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Chidi Benz feat Diamond & AY – Mpaka Kuchee

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Chidi Benz akiwashirikisha Diamond na AY. Ngoma inaitwa “Mpaka Kuchee” iliyorekodiwa kwenye studio za 4:12 chini ya watayarishaji, Tudd Thomas na Dully Sykes.

 

10 years ago

Bongo5

Kesi ya Chid Benz yasogezwa mbele mpaka December 1

Kesi inayomkabili rapper Chid Benz ya kukamatwa na madawa ya kulevya iliyokuwa ikisikilizwa leo (Nov. 11) katika mahakama ya mkazi Kisutu imesogezwa mbele hadi December 1. Upande wa mashitaka ukiongozwa na mawakili wawili Ofmed Mtenga na Leonard Challo mbele ya Hakimu Waliarwanda Lema, umesema upelelezi bado haujakamilika nakutaja tarehe ya kusikilizwa kesi hiyo Desemba mosi. […]

 

10 years ago

Bongo5

Mfahamu Maggz: Rapper wa Afrika Kusini anayefanana sura na Chidi Benz (Video)

Wanasema duniani kuna takriban watu saba wanaofanana sura na wewe. Maggz ni mtu mmoja kati ya watu saba wanaofanana sura na Chidi Benz. Kinachofurahisha zaidi ni kuwa Maggz naye ni rapper mkali anayeheshimika nchini Afrika Kusini. Tazama baadhi ya video zake.

 

10 years ago

GPL

KESI YA CHID BENZ YAPIGWA KALENDA MPAKA JANUARI 21 MWAKA HUU

Mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar. (Picha na Maktaba Yetu) KESI inayomkabili mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’, imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mpaka Januari 21, mwaka huu. Mwanamuziki huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika...

 

10 years ago

GPL

CHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU

Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' akiwa chini ya ulinzi akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu leo. ...Akielekea kwenye 'karandinga' tayari kwa safari ya Segerea.…

 

10 years ago

CloudsFM

CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q

Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.

 

10 years ago

Bongo5

Chidi Benz akamatwa na dawa za kulevya airport

Chidi Benz amekamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa anaelekea jijini Mbeya kwenye show ya Instagram Party inayotarajiwa kufanyika kesho. Akizungumza Bongo5 leo msanii Shetta ambaye alikuwa naye pamoja katika safari hiyo ya kuelekea Mbaya, amethibitisha kukamatwa na kwa Chidi akiwa na vitu […]

 

10 years ago

Bongo5

Chidi Benz kurudi tena mahakamani January 15

Hatma ya rapper Chidi Benz kuhusiana na kama ataachia huru au kufungwa jela kutokana na mashtaka matatu yanayomkabili kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya, haikuweza kujulikana Alhamis hii baada ya kupanda tena kizimbani kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Chidi amepangwa kurejea tena mahakamani hapo January 15, 2015. Juzi rapper huyo alikuwa na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani