Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfahamu Maggz: Rapper wa Afrika Kusini anayefanana sura na Chidi Benz (Video)

Wanasema duniani kuna takriban watu saba wanaofanana sura na wewe. Maggz ni mtu mmoja kati ya watu saba wanaofanana sura na Chidi Benz. Kinachofurahisha zaidi ni kuwa Maggz naye ni rapper mkali anayeheshimika nchini Afrika Kusini. Tazama baadhi ya video zake.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Chidi Benz azungumzia kesi yake na video ya ‘Mpaka Kuchee’

Rapper Chidi Benz anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na madawa ya kulevya, amesema kesi hiyo imeathiri kufanyika kwa video ya wimbo wake ‘Mpaka Kuchee’ aliyowashirikisha Diamond na AY. Chidi alikuwa akiongea na Bongo5 jana kwenye uzinduzi wa video ya Wakazi ‘Wanawake wa Dar’. “Video inakuja, bado sijaanza kufanya mazungumzo na AY wala Diamond ambao nipo […]

 

10 years ago

Bongo5

TID afanya kolabo na rapper wa Afrika Kusini, Tumi Molekane

TID ameingia kwenye studio ya B Records za Dar es Salaam na rapper wa Afrika Kusini, Tumi Molekane. Wimbo waliorekodi unaitwa ‘Bongo’. TID ameiambia Bongo5 kuwa rapper huyo alikuwa na shauku kubwa ya kufanya naye kazi. “Mimi na Tumi tumefanya kazi moja nzuri sana studio jana,” amesema TID. “Tumetoka late sana kama saa kumi hivi. […]

 

9 years ago

Bongo5

Rapper Cassper Nyovest wa Afrika Kusini apata deal la kihistoria

Rapper wa Afrika Kusini, Refiloe Phoolo maarufu kama Cassper Nyovest amesaini deal la ubalozi kubwa zaidi katika historia ya muziki nchini humo. Welcoming @CassperNyovest to the MTN family! He's officially our new brand ambassador! Fun times ahead! #MTNCassper pic.twitter.com/6eOe0wJhMC — MTN South Africa (@MTNza) October 22, 2015 Rapper huyo amekuwa balozi wa mtandao wa MTN. […]

 

9 years ago

Bongo5

Rapper K.O wa Afrika Kusini kufanya Media & Showcase Tour Tanzania wiki ijayo

Rapper aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘No Body But Me’, K.O kutoka Afrika Kusini anatarajia kuja Tanzania Jumatatu ijayo kwaajili ya ziara ya kuzunguka kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kujitangaza zaidi. K.O akiwa na Vanessa K.O ambaye jina lake halisi ni Ntokozo Mdluli atatembelea magazeti, vituo vya Radio na Tv pamoja na […]

 

10 years ago

GPL

CHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU

Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' akiwa chini ya ulinzi akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu leo. ...Akielekea kwenye 'karandinga' tayari kwa safari ya Segerea.…

 

10 years ago

CloudsFM

CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q

Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.

 

10 years ago

Bongo5

Chidi Benz kurudi tena mahakamani January 15

Hatma ya rapper Chidi Benz kuhusiana na kama ataachia huru au kufungwa jela kutokana na mashtaka matatu yanayomkabili kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya, haikuweza kujulikana Alhamis hii baada ya kupanda tena kizimbani kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Chidi amepangwa kurejea tena mahakamani hapo January 15, 2015. Juzi rapper huyo alikuwa na […]

 

10 years ago

Bongo5

Chidi Benz akamatwa na dawa za kulevya airport

Chidi Benz amekamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa anaelekea jijini Mbeya kwenye show ya Instagram Party inayotarajiwa kufanyika kesho. Akizungumza Bongo5 leo msanii Shetta ambaye alikuwa naye pamoja katika safari hiyo ya kuelekea Mbaya, amethibitisha kukamatwa na kwa Chidi akiwa na vitu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani