Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chikawe, Dk Kamani waahidi mazito

 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe na Waziri Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani wameingia kwenye ofisi zao mpya huku wakiwa na ujumbe mzito.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri waahidi makubwa

Baada ya Mawaziri na Manaibu Waziri kuapishwa jana na Rais Jakaya Kikwete, wametoa ahadi lukuki kwa Watanzania kuhusu utendaji wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri waahidi mambo makubwa

Baada ya Mawaziri na Manaibu Waziri kuapishwa jana na Rais Jakaya Kikwete, wametoa ahadi lukuki kwa Watanzania kuhusu utendaji wao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachimbaji Nzega waahidi neema

SERIKALI imewaahidi wachimbaji wadogo wa Kitongoji cha Mwanchina, wilayani Nzega, Tabora kuwatafutia eneo la kuchimba pamoja na kuwaagiza waunde vikundi vitakavyoweza kupatiwa leseni. Akizungumza na wachimbaji wadogo juzi, Naibu Waziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngorongoro Heroes waahidi ushindi

NAHODHA wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’, Aishi Manula, amesema wamejipanga kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mechi dhidi ya Kenya itakayochezwa mji wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachina waahidi kulinda viwango

Chama cha Wafanyabiashara kutoka nchini China wanaofanya shughuli zao chini ya mwamvuli wa Kariakoo Chinese Chamber of Commerce (KCCC), kimetoa ahadi ya kulinda viwango vya ubora wa bidhaa zinazosambazwa na wanachama wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Kamani adaiwa kumdanganya JK

p>MBUNGE wa Busega mkoani Simiyu, Dk. Titus Kamani (CCM) anadaiwa kumdanganya Rais Jakaya Kikwete kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo jimboni mwake. Inadaiwa kwamba hivi karibuni Rais Kikwete akiwa ziarani...

 

10 years ago

Habarileo

Kamani ahamasisha kujiandikisha

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus Kamani amewaambia wananchi wa Mji wa Kahama kuwa ili Mbunge wa Jimbo Kahama James Lembeli arejee bungeni ni vyema wakajitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

 

11 years ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa waahidi misaada Syria

Umoja wa Mataifa umeahidi kuendelea kutoa misaada nchini Syria licha ya mashambulio dhidi ya misafara yake

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waahidi kumtetea Shy-Rose

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Twaha Tasilima, amesema wabunge wenzake wa Tanzania waliopo kwenye Bunge hilo, watasimama kidete kumtetea mbunge mwenzao, Shy-Rose Bhanji kwani hajatendewa haki ya kusikilizwa juu ya tuhuma anazoshutumiwa na wenzake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani