Dk. Kamani adaiwa kumdanganya JK
p>MBUNGE wa Busega mkoani Simiyu, Dk. Titus Kamani (CCM) anadaiwa kumdanganya Rais Jakaya Kikwete kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo jimboni mwake. Inadaiwa kwamba hivi karibuni Rais Kikwete akiwa ziarani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA
10 years ago
Habarileo25 Feb
Kamani ahamasisha kujiandikisha
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus Kamani amewaambia wananchi wa Mji wa Kahama kuwa ili Mbunge wa Jimbo Kahama James Lembeli arejee bungeni ni vyema wakajitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
11 years ago
Uhuru Newspaper19 Jul
Kikwete, Dk. Kamani wawakuna wapinzani
NA PETER KATULANDA, BUSEGA
MADIWANI wa Chama cha UDP wilayani Busega, wamempongeza Rais Jakaya Kikwete na Mbunge wa Busega, Dk. Titus Kamani, kwa kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli na kwamba wananchi hawana budi kuwaunga mkono.
Madiwani hao, Safari Jejeje wa Kata ya Ngasamo na James Yagaluka (Badugu), walitoa pongezi hizo kwa nyakati tofauti wakati wa ziara ya Dk. Kamani, ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ambapo walisema wana imani kubwa na serikali ya Rais Kikwete kwa...
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Dk. Chegeni ambwaga Waziri Kamani
NA JOHN MADUHU, MWANZA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Raphael Chageni, amembwaga Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani katika kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwenye Jimbo la Busega mkoani Simiyu.
Hatua ya kushindwa kwa Dk. Kamani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, imemfanya aungane na mawaziri na manaibu waziri wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete walioangukia pua katika mbio za kusaka kurejea katika...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Dk. Kamani: Tengeni maeneo ya mifugo
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amezitaka halmashauri nchini kuangalia utaratibu mzuri wa kutenga maeneo ya mifugo na kuwa wasimamizi ili kuepusha migogoro inayotokea mara kwa...
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Dk. Kamani atakiwa kuacha kulalamika
Mbunge wa Jimbo la Busega,Mh. Titus Kamani
NA MWANDISHI WETU, BUSEGA
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Busega, Simiyu, Mshoni Mshoni, amemtaka Mbunge wa jimbo hilo, Dk. Titus Kamani, kuacha kutumia vyombo vya habari kupotosha wananchi, badala yake awapelekee maendeleo huku akitekeleza ilani ya uchaguzi ya chama hicho.
Mshoni alisema tabia ya mbunge huyo kutumia vyombo vya habari kupotosha ukweli wa hali halisi ilivyo jimboni inawachanganya wanachama na wananchi.
Mwenyekiti huyo alisema hayo baada...
11 years ago
Habarileo05 Feb
Kamani akunjua makucha yake
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, ameagiza Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (Narco), kunyang’anya ranchi ndogo za ufugaji zinazomilikiwa na wawekezaji wazawa walioshindwa kuziendeleza.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Wakulima, wafugaji wampongeza Kamani
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amepokewa na ujumbe mzito kutoka kwa Chama cha Wavuvi na Wafugaji waliofika mkoani hapa. Dk. Kamani juzi alifanyiwa sherehe za...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Dk. Kamani aonya watakaohujumu miradi
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amewaonya watendaji watakaotafuna fedha za miradi mbalimbali inayotekelezwa Jimbo la Busega mkoani Simiyu. Dk. Kamani, alitoa onyo hilo juzi wakati...