Dk. Kamani atakiwa kuacha kulalamika
Mbunge wa Jimbo la Busega,Mh. Titus Kamani
NA MWANDISHI WETU, BUSEGA
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Busega, Simiyu, Mshoni Mshoni, amemtaka Mbunge wa jimbo hilo, Dk. Titus Kamani, kuacha kutumia vyombo vya habari kupotosha wananchi, badala yake awapelekee maendeleo huku akitekeleza ilani ya uchaguzi ya chama hicho.
Mshoni alisema tabia ya mbunge huyo kutumia vyombo vya habari kupotosha ukweli wa hali halisi ilivyo jimboni inawachanganya wanachama na wananchi.
Mwenyekiti huyo alisema hayo baada...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Filikunjombe: Acheni kulalamika
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi na viongozi kuacha kulalamika na badala yake wachukue hatua sahihi kwa kila mmoja kuwajibika kwa nafasi yake. Filikunjombe alitoa rai hiyo jana...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Dk. Slaa: Acheni kulalamika
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kuacha kulalamika baadala yake wachukue maamuzi magumu ya kutokichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho kimebobea kwa...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Wimbo huu wa ‘kulalamika’ hauuziki
10 years ago
Habarileo06 Sep
'Mkikaa vijiweni mtaendelea kulalamika'
MKURUGENZI wa Shirika la Nyumba Tanzania (NHC), Nehemia Mchechu amewataka vijana kuacha kukaa vijiweni na kuitolea Serikali lawama zisizo na msingi na badala yake watumie fursa zinazowazunguka kujiajiri.
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
ATCL jibuni hoja, acheni kulalamika
KUNA kipindi Rais Jakaya Kikwete aliwaagiza watendaji wa serikali kutoa taarifa kwa waandishi wa habari ili uwepo uwazi katika masuala mbalimbali yanayohusu wizara na idara zao. Pamoja na agizo hilo...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Acha kulalamika, ishi na watu vizuri — 2
Wiki iliyopita nilisema kwamba mtu anaweza akafanya jambo analoona zuri kwake na wakati huo huo likawa chukizo kwa wengine. Sasa endelea… NI vizuri kuepuka kumsifu mtu isivyostahili kwani ni kumvika...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vETSC_nGZZQ/VgUcZPpWkjI/AAAAAAAH7HY/eZb_hEv8Qe8/s72-c/images.jpg)
JK: MWENYE TATIZO NA MUSWADA WA HABARI ALETE MAONI SERIKALINI BADALA YA KUKAA NA KULALAMIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-vETSC_nGZZQ/VgUcZPpWkjI/AAAAAAAH7HY/eZb_hEv8Qe8/s200/images.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI· Aunga mkono asilimia 100 staili ya Kampeni ya Magufuli· Asema Tanzania inahitaji mawazo mapya ili iweze kusonga mbele· Atamani muda wake wa kuongoza Tanzania kumalizika haraka zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kama wapo watu binafsi ama taasisi yoyote mahali popote wenye matatizo na Sheria ya Takwimu mpya...
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Magufuli atakiwa kushughulikia Z’bar
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
RAIS Dk. John Magufuli, ameombwa kutoa nafasi kubwa zaidi ya mazungumzo kuhusu mgogoro wa kisiasa Zanzibar, ili kujali na kuthamini uamuzi wa wananchi walioufanya wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Ombi hilo lilitolewa juzi na Mbunge wa Viti Maalumu Wilaya ya Magharibi A Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Raisa Mussa wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa.
Mgogoro huo umekuja baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya...
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Kafulila atakiwa kulipa Sh7.5 m