Kikwete, Dk. Kamani wawakuna wapinzani
NA PETER KATULANDA, BUSEGA
MADIWANI wa Chama cha UDP wilayani Busega, wamempongeza Rais Jakaya Kikwete na Mbunge wa Busega, Dk. Titus Kamani, kwa kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli na kwamba wananchi hawana budi kuwaunga mkono.
Madiwani hao, Safari Jejeje wa Kata ya Ngasamo na James Yagaluka (Badugu), walitoa pongezi hizo kwa nyakati tofauti wakati wa ziara ya Dk. Kamani, ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ambapo walisema wana imani kubwa na serikali ya Rais Kikwete kwa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA KIKWETE
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Kikwete: Wapinzani wataisoma namba
10 years ago
VijimamboDMV ALL STARS NA STREET INTELLIGENTS WAWAKUNA WANADMV
Mashabiki wakimtunza Mr. Tz wakati alipowakuna kwa wimbo wake wakati sherehe ya kuukaribisha mwaka ikiendelea DMV.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Kamani ahamasisha kujiandikisha
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus Kamani amewaambia wananchi wa Mji wa Kahama kuwa ili Mbunge wa Jimbo Kahama James Lembeli arejee bungeni ni vyema wakajitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Dk. Kamani adaiwa kumdanganya JK
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Dk. Chegeni ambwaga Waziri Kamani
NA JOHN MADUHU, MWANZA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Raphael Chageni, amembwaga Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani katika kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwenye Jimbo la Busega mkoani Simiyu.
Hatua ya kushindwa kwa Dk. Kamani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, imemfanya aungane na mawaziri na manaibu waziri wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete walioangukia pua katika mbio za kusaka kurejea katika...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Wakulima, wafugaji wampongeza Kamani
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amepokewa na ujumbe mzito kutoka kwa Chama cha Wavuvi na Wafugaji waliofika mkoani hapa. Dk. Kamani juzi alifanyiwa sherehe za...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Dk. Kamani: Tengeni maeneo ya mifugo
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amezitaka halmashauri nchini kuangalia utaratibu mzuri wa kutenga maeneo ya mifugo na kuwa wasimamizi ili kuepusha migogoro inayotokea mara kwa...