Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete: Wapinzani wataisoma namba

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan jana walichukua fomu kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Rais Jakaya Kikwete akisema wapinzani wataisoma namba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

‘Wataicheza namba’ au ‘Wataisoma Namba’?

Tukiwa tuko ukingoni kumaliza upigaji kura wa uchaguzi 2015 mengi yametokea na tumejifunza. CCM na nyimbo yao maarufu Wataisoma Namba. Kwangu mimi nikuwa Wataicheza Namba. CCM imekuwa ikijigamba kuwa na mbinu kadhaa za kushinda. Hoja ambayo […]

The post ‘Wataicheza namba’ au ‘Wataisoma Namba’? appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA KIKWETE

Wenyeviti wa vyama vya upinzani nchini, kutoka kushoto ni James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Freeman Mbowe (Chadema) na Profesa Ibrahim Lipumba (CUF). Dodoma.
Wenyeviti wa vyama vya Upinzani vya Chadema, Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku walikutana ili kutoa kauli ya pamoja, kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge kwa maelezo kuwa tayari Rais amevuruga mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya. Wakati...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kikwete, Dk. Kamani wawakuna wapinzani


NA PETER KATULANDA, BUSEGA
MADIWANI wa Chama cha UDP wilayani Busega, wamempongeza Rais Jakaya Kikwete na Mbunge wa Busega, Dk. Titus Kamani, kwa kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli na kwamba wananchi hawana budi kuwaunga mkono.
Madiwani hao, Safari Jejeje wa Kata ya Ngasamo na James Yagaluka (Badugu), walitoa pongezi hizo kwa nyakati tofauti wakati wa ziara ya Dk. Kamani, ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ambapo walisema wana imani kubwa na serikali ya Rais Kikwete kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ngoma: Simba wataisoma

Wachezaji wapya wa Yanga, Mzimbabwe Donald  Ngoma na Mghana Joseph Zutah wamesema wamekuja kazini na kuinyamazisha Simba.

 

10 years ago

Vijimambo

UNAWEZA KUMTUMIA UJUMBE RAIS JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI KWENYE NAMBA YAKE HAPO CHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalum kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

10 years ago

Michuzi

Mtumie ujumbe wa kumjulia hali na kumpa pole Rais Kikwete kwa kupitia namba yake hii

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ALIPOKABIDHIWA KITAMBULISHO NAMBA 1 CHA USHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASABA (DITF) KUTOKA MAXMALIPO .

Rais  Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akabidhiwa kitambulisho Maalumu cha kielektoniki kwaajili ya Kuingia katika Maonesho ya 38 ya biashara ya Kimataifa ya Sabasaba kutika Kwa bwana Ahmed Lussasi Mkurugenzi uendeshaji wa kampuni ya Maxmalipo
Rais. Jakaya Mrisho alipata Nafasi ya kuzungumza na Maafisa wa Maxmalipo Juu ya Mfumo wa Kieletroniki wa Ticket (e-Ticketing System) uliofungwa na Maxmalipo Katika viwanja Vya Sabasaba. Pia Mheshimiwa Rais alijionea Jinsi Mfumo huu unavyodhibiti na kuboresha...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Hazard si namba 10 wa Chelsea’

Jose Mourinho amemwambia Eden Hazard yeye si mchezaji wa kucheza namba 10 katika kikosi cha Chelsea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani