Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


China yapuuza dai la ujasusi wa kiuchumi

Uchina imeelezea kusikitishwa na mashtaka dhidi ya raia wake sita na serikali ya Marekani kwa madai ya ujasusi wa kiuchumi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria yapuuza Boko Haram

Rais wa Nigeria amepuuza matakwa ya kundi la kiislam la Boko Haram lililotaka kubadilishana wafungwa kwa mateka

 

11 years ago

Mwananchi

Urusi yapuuza vitisho vya Marekani

Vita ya maneno kati ya Urusi na nchi za Magharibi inaendelea kuchukua sura mpya baada ya Urusi kusema wazi wazi kwamba haibabaishwi na vitisho vya Marekani.

 

9 years ago

BBCSwahili

VW yakanusha dai dhidi ya Porsche na Audi

Kampuni ya kutengeneza magari kutoka Ujerumani Volkswagen, imekanusha madai ya uchafuzi wa mazingira dhidi ya magari ya kifahari ya Porsche na Audi

 

10 years ago

BBCSwahili

Shirika la Ujasusi Marekani lakosolewa

Ripoti ya Seneti, Marekani imekosoa vikali zinazotumiwa na CIA ,kuwahoji washukiwa wa uhalifu, kwamba ni za kikatili na zisizofaa.

 

5 years ago

Ykileo

SHUTMA ZA UJASUSI MTANDANO DHIDI YA UCHINA



KWA UFUPI: Australia, Marekani na Uingereza zimeitupia lawana nchi ya Uchina kuhusika na ujasusi mtandao katika mataifa yao na mataifa Rafiki – Shutma ambazo zime eleza uchina kuhusika na wizi wa taarifa za siri za kibiashara za serikali na makampuni ya Teknologia.

---------------------------

Niliwahi kueleza mara kadhaa mwelekeo mpya na hatari wa Uhalifu mtandao ambapo nilitahadharisha kuhusiana na vita mtandao (Cyber Warfare) pamoja na Ujasusi Mtandao (Cyber Espionage) ambavyo kwa sasa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sheria mpya ya ujasusi Marekani ;Senet

Bunge la senet la Marekani litapisha mswada kudhibiti mbinu za ujasusi za CIA.

 

10 years ago

Mwananchi

Dai kuwa eti wanasayansi walitengeneza ukimwi na ebola kuua waafrika laendelea mitaani majuu

Tunamtazama njiwa. Anasikitisha. Anachechemea akidonoa donoa mabaki ya vyakula chini. Mguu mmoja umeumia; hautumii kabisa. Njiwa wenzake, wanampita pita wakila haraka zaidi.

 

10 years ago

Ykileo

MCAFEE YASEMA VITA NA UJASUSI MTANDAO UTAONGEZEKA ZAIDI MWAKA 2015

Kumekua na wimbi kubwa la uhalifu mtandao unaofanywa na mhalifu kwa lengo la kujipatia fedha, taarifa na mambo mengine katika maeneo mbali mbali duniani. Katika mfululizo wa vipindi mbali mbali vinavyo weza kusikika "HAPA" nimeweza kueleza hali halisi huku kesho ya uhalifu mtandao kama ilivyo tabiriwa kupata kuangaziwa macho kwa karibu.


Kwa sasa kumeendelea kukua kwa uhalifu unao ihusisha nchi moja dhidi ya nyingine au kampuni moja dhidi ya nyingine yenye malengo ya kupata taarifa za ndani na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: China yakerwa Trump kuita corona 'virusi vya China'

Rais wa Marekani Donald Trump ametumia neno hilo ingawa kumekuwa na wito wa kuepuka kunyanyapaa eneo au kundi fulani wakati huu wa maambukizi ya virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani