Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VW yakanusha dai dhidi ya Porsche na Audi

Kampuni ya kutengeneza magari kutoka Ujerumani Volkswagen, imekanusha madai ya uchafuzi wa mazingira dhidi ya magari ya kifahari ya Porsche na Audi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

China yapuuza dai la ujasusi wa kiuchumi

Uchina imeelezea kusikitishwa na mashtaka dhidi ya raia wake sita na serikali ya Marekani kwa madai ya ujasusi wa kiuchumi

 

10 years ago

BBCSwahili

Bayern Munich mabingwa wa Audi

Miamba wa soka wa Ujerumani Bayern Munich wametwaa ubingwa wa michuano ya Audi mwaka 2015

 

10 years ago

BBCSwahili

Audi:Real Madrid yaichapa Tottenham

Miamba ya soka wa Hispania Real Madrid wameichapa timu ya Tottenham 2-0 katika mchezo wa nusu fainali wa kikombe cha Audi

 

5 years ago

Ars Technica

Flagship sedans like the Audi A8 are a dying breed

Flagship sedans like the Audi A8 are a dying breed  Ars TechnicaAudi Will Use 4 Electric Car Chassis Designs, But Cancels Electric A8  CleanTechnicaView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Global Publishers

D’Banj atingisha mitaa na Porsche

5-8-3
 Gari aina ya Porsche analomiliki D’Banj.

MASHABIKI wa nyota wa muziki  nchini Nigeria, D’Banj,  wanasema msanii huyo hivi sasa ‘anaipaka rangi’  nyekundu mitaa ya jijini Lagos wakati anapozunguka hapa na kule akitumia gari lake jekundu aina ya Porsche ambalo alizawadiwa na makampuni ya simu yaliyomfanya kuwa balozi wake.

imageMiongoni mwa sehemu ambazo  D’Banj amekuwa akikatiza mitaa na kuwavutia watu wengi ni pamoja na kwenda kumtembelea rafiki yake aitwaye Timaya ambapo alikwenda kusherehekea...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanawe Paul Walker aishtaki Porsche

Mwanawe marehemu msanii nguli wa 'Fast and Furious' Paul Walker ameishtaki kampuni ya kutengeneza magari ya Porsche kwa ajali iliyomuua babake

 

10 years ago

Mwananchi

Dai kuwa eti wanasayansi walitengeneza ukimwi na ebola kuua waafrika laendelea mitaani majuu

Tunamtazama njiwa. Anasikitisha. Anachechemea akidonoa donoa mabaki ya vyakula chini. Mguu mmoja umeumia; hautumii kabisa. Njiwa wenzake, wanampita pita wakila haraka zaidi.

 

9 years ago

Bongo5

Mtoto wa Paul Walker aishtaki kampuni ya Porsche

Mtoto wa kike wa Paul Walker anaishtaki kampuni ya Porsche, kwa kudai kuwa gari hilo la michezo lililomuua baba yake miaka miwili iliyopita lilikuwa na kasoro za utengenezaji. Mashtaka hayo yaliyowasilishwa Jumatatu hii na Meadow Rain Walker yanataka kulipwa kwa hasara ambazo hazijatajwa kwa makosa ambayo wanasheria wake wanadai yalimfanya muigizaji huyo kunaswa kwenye gari […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani