D’Banj atingisha mitaa na Porsche
Gari aina ya Porsche analomiliki D’Banj.
MASHABIKI wa nyota wa muziki nchini Nigeria, D’Banj, wanasema msanii huyo hivi sasa ‘anaipaka rangi’ nyekundu mitaa ya jijini Lagos wakati anapozunguka hapa na kule akitumia gari lake jekundu aina ya Porsche ambalo alizawadiwa na makampuni ya simu yaliyomfanya kuwa balozi wake.
Miongoni mwa sehemu ambazo D’Banj amekuwa akikatiza mitaa na kuwavutia watu wengi ni pamoja na kwenda kumtembelea rafiki yake aitwaye Timaya ambapo alikwenda kusherehekea...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ouI1tYRpdm4/VYg9WfLAYAI/AAAAAAAAvu0/u7ud9HmDRgI/s72-c/1.%2BKinana%2Bmkutano%2Bsengerema%2Bmjini.jpg)
KINANA ATINGISHA JIMBONI KWA NGELEJA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-ouI1tYRpdm4/VYg9WfLAYAI/AAAAAAAAvu0/u7ud9HmDRgI/s640/1.%2BKinana%2Bmkutano%2Bsengerema%2Bmjini.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TNA8NV9lQq4/VYg9VylE1VI/AAAAAAAAvuw/K-Nt6LBt-Ng/s640/2.Kinana%2Bmkutano%2BSengerema%2Bmjini%2B2.jpg)
9 years ago
VijimamboDOGO WA AZAM FC ATINGISHA ULAYA, MAWAKALA WAANZA KUMVIZIA
Kinda wa Azam FC, Farid Mussa huenda mambo yakawa mazuri kwake akiwa na umri mdogo kabisa.Thomas Anderson raiwa Denmark amesema amepata taarifa za Farid akiwa nchini Uturuki na angependa kupata video yake ili aone kama inawezekana kumpeleka Ulaya.
Anderson ameitaja kampuni ya uwakawa wa wachezaji na kusema, anahitaji kujiridhisha kuhusiana na Farid kabla ya kwenda Azam FC.
“Nimepewa taarifa na makocha wa Hispania ambao wako kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Libya wakati Tanzania ilipocheza...
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
VW yakanusha dai dhidi ya Porsche na Audi
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mwanawe Paul Walker aishtaki Porsche
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Paul Walker aishtaki kampuni ya Porsche
9 years ago
Bongo527 Nov
Baba yake Paul Walker naye awashtaki Porsche kwa kifo cha mwanae
![Paul-Walker](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Paul-Walker-300x194.jpg)
Baba yake na Paul Walker Jumatano hii amewasilisha mashtaka dhidi ya kampuni ya magari ya Porsche akidai kuwa gari ambalo mwanae alikuwa akiendesha lilikosa vitu vya kiusalama ambavyo vingeweza kuokoa maisha yake.
Muigizaji huyo wa Fast & Furious alifariki November 2013 kwenye ajali mbaya ya gari huko Santa Clarita, Calif., iliyomuua pia rafiki yake Roger Rodas, dereva wa gari aina ya 2005 Porsche Carrera GT.
Mashtaka hayo ni kama yale yaliyowasilishwa na mtoto wa Meadow, ...
5 years ago
GSMArena.Com11 Mar
Unofficial Huawei P40 Porsche Design case lacks the symmetry of previous PD phones - GSMArena.com news
9 years ago
Global Publishers17 Dec
D’Banj: Olamide si mwizi
HATIMAYE, mwimbaji maarufu wa Nigeria, D’Banj, amejibu tuhuma za prodyuza wa muziki, Dee Vee, anayemiliki kampuni ya DB Records kwamba rapa Olamide aliiba mistari kadhaa ya wimbo wake (DeeVee).
Itakumbukwa na wafuatiliaji wa muziki kwamba wiki kadhaa zilizopita, DeeVee alisema Olamide aliiba mstari kutoka katika wimbo wa D’Banj uitwao ‘Shake It’ ambao bado haujatoka.
Hata hivyo, D’Banj amesema hawezi kukiita kitendo hicho kuwa ni wizi bali ni changamoto njema. Alisema kwamba nyumba yake iko...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7RUuQKvOTws/default.jpg)