Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOGO WA AZAM FC ATINGISHA ULAYA, MAWAKALA WAANZA KUMVIZIA


Kinda wa Azam FC, Farid Mussa huenda mambo yakawa mazuri kwake akiwa na umri mdogo kabisa.Thomas Anderson raiwa Denmark amesema amepata taarifa za Farid akiwa nchini Uturuki na angependa kupata video yake ili aone kama inawezekana kumpeleka Ulaya.

Anderson ameitaja kampuni ya uwakawa wa wachezaji na kusema, anahitaji kujiridhisha kuhusiana na Farid kabla ya kwenda Azam FC.

“Nimepewa taarifa na makocha wa Hispania ambao wako kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Libya wakati Tanzania ilipocheza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Samatta awavutia mawakala Ulaya

IMG_4679*Lowassa, Malinzi wammwagia pongezi

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

SASA ni wazi kuwa siku zinahesabika kwa mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta kuendelea kubaki kuichezea timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Wakati zikiwa zimesalia siku 53 dirisha dogo la usajili kufunguliwa barani Ulaya, juzi Samatta alimulikwa na mawakala wengi kutoka barani humo na hapa Afrika kwenye mchezo wa fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria.

Ukiondoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawakala Azam TV watua Brazil

MAWAKALA watatu vinara katika mauzo ya visimbuzi (ving’amuzi) vya Azam TV, juzi wamesafirishwa kuelekea Brazil kushuhudia mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia kati ya wenyeji Brazil na Ujerumani...

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …

Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]

The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...

 

11 years ago

GPL

DOGO LILA NA DOGO HILAL WAKIFANYA YAO NDANI YA DAR LIVE

Dogo Lila na Dogo Hilal wakifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Dar Live.

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’. Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba […]

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION WAANZA KUIPIGIA HESABU AZAM FC

Na Ripota Maalum,Tanga
TIMU ya Coastal Union imewasilia jijini Tanga ikiwa na mikakati mizito ya kuhakikisha inawanyamazisha wapinzani wao Azam FC ikiwa ni muendelezo wa Michuano ya Ligi kuu soka Tanzania bara mchezo unaotarajiwa kucheza kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani wikiendi ijayo.Akizungumza leo na waandishi wa habari, Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga amesema kuwa sasa nguvu zao watazielekeza kwenye mchezo huo utakaochezwa kwenye mjini hapa.Amesema kuwa dhamira yake aliyoipanga...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wataalamu kutoka Ulaya kuiongoza Azam FC

Azam FC sasa itakuwa chini ya Stewart Hall ambaye yupo jijini Dar es Salaam akisubiri kuwapokea wasaidizi wake.

 

9 years ago

Global Publishers

D’Banj atingisha mitaa na Porsche

5-8-3
 Gari aina ya Porsche analomiliki D’Banj.

MASHABIKI wa nyota wa muziki  nchini Nigeria, D’Banj,  wanasema msanii huyo hivi sasa ‘anaipaka rangi’  nyekundu mitaa ya jijini Lagos wakati anapozunguka hapa na kule akitumia gari lake jekundu aina ya Porsche ambalo alizawadiwa na makampuni ya simu yaliyomfanya kuwa balozi wake.

imageMiongoni mwa sehemu ambazo  D’Banj amekuwa akikatiza mitaa na kuwavutia watu wengi ni pamoja na kwenda kumtembelea rafiki yake aitwaye Timaya ambapo alikwenda kusherehekea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani