Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo chakubali kusaidia wasiojiweza

Chuo cha Kimataifa cha Biashara na Ujasiriamali cha Rungwe, kimeazimia kusaidia makundi mbalimbali ya kijamii, yakiwamo ya wasichana wanaoishi katika mazingira magumu ili wajiunge na chuo hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania watakiwa kusaidia watu wasiojiweza kwenye jamii

DSC_0006

 

Mhe. Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe wakipata maelezo juu ya watoto waishio katika kituo hich kutoka kwa Sista Mary Bakhita.

  Waziri Membe akizungumaza wakati wa ziara yake kituoni hapo. Kulia ni Mama Dorcas Membe. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda akifuatiwa na Padri Timoth Maganga wa Kanisa Katoliki la Kigogo Mburahati.

Padri Timoth Maganga wa Kanisa Katoliki la Kigogo Mburahati akitoa shukrani zake za pekee kwa Waziri Membe kutembelea kituoni hapo.

 

5 years ago

Michuzi

GEITA GOLD MINING LTD YATOA MILIONI 100/- KUSAIDIA UJENZI CHUO KIKUU HURIA-GEITA

KATIKA kukuza sekta ya elimu ya juu nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Ltd. (GGML) kupitia sera yake ya uwajibikaji kwa jamii imetoa kiasi cha Sh milioni 100 kusaidia ujenzi wa Kituo cha Chuo Kikuu Huria(Open University) cha mkoani wa Geita.

Awamu ya kwanza ya mradi huo inajumuisha ujenzi wa jengo la utawala linalojumuisha chumba mikutano cha viongozi, maktaba, chumba cha maabara ya kompyuta na ofisi nyingine tano.

Pia kiasi hicho cha pesa kilichotolewa na GGML ni kwa ajili ya ununuzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MWEYEKITI WA CHUO CHA KARATE NCHINI TANZANIA AOMBA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA MCHEZO WA KARATE

 Mwenyekiti wa Chuo cha Karate nchini Tanzania,Willy Ringo ameyataka mashirika na makampuni nchini kuunga mkono mchezo wa Karate ili kufika mbali zaidi ulimweguni.
Akizungumza jijini Dar es Salaam,Rwezaula ameitaka Serikali pamoja na Makampuni yeyote  kuusaidia mchezo huo wa Karate,pia ameitaka Serikali kuacha kudhamini michezo mingine kama mpira wa miguu na mashindano ya urembo.
Kwa upande wake, Bingwa wa Dunia katika mchezo wa Karate, Rutashobya Ringo amewataka Watanzania kuwa na nidhamu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hamadombe yawakumbuka wazee wasiojiweza

KAMPUNI ya Hamadombe Distributor ya jijini Dar es Salaam, imetoa msaada kwa watoto yatima katika kituo cha Upendo Life Orphanage cha Kigamboni, na kisha kula chakula cha pamoja na wazee...

 

11 years ago

GPL

NISHA AZIDI KUWASAIDIA WASIOJIWEZA

Nisha akiwa amebeba mzigo wa mchele, pembeni ni gari likiwa na mizigo mingine. Akiwa anagawanya kwa familia hizo.…

 

11 years ago

Habarileo

JK awapa Idd el Fitr wazee wasiojiweza

RAIS Jakaya Kikwete ametoa msaada wa chakula kwa kambi ya wazee wasiojiweza ya Bukumbi, wilayani Misungwi mkoani hapa kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitr.

 

10 years ago

Michuzi

TUWAKUMBUKE WAZEE WASIOJIWEZA -LULU MTEMVU

Mjumbe wa Baraza la Vijana (UVCCM) wilaya ya Morogoro vijijini, Lulu Mtemvu, katika picha ya pamoja , Desemba 31, 2014 na baadhi ya wazee wasiojiweza wa Kambi ya Funga Funga iliyopo Manispaa ya Morogoro. Mjumbe wa Baraza la Vijana (UVCCM) wilaya ya Morogoro vijijini, Lulu Mtemvu, akimkabidhi zawadi ya vyakula na mbuzi kwa ajili ya sikukuu ya mwaka mpya 2015 kwa Wazee wasiojiweza wa Kambi ya Funga Funga iliyopo Manispaa ya Morogoro, mnamo Desemba 31, 2014, zawadi hiyo ilipokelewa na...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Divas watoa msaada kwa wanawake wasiojiweza

Umoja wa wafanyakazi wanawake wa Airtel ujulikanao kama Airtel Divas umejitoa kuwasaidia na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA )  kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi hao wa Airtel walifanya uzinduzi rasmi wa Airtel Divas  na kualika kikundi cha SWAUTA kuonyesha na kuuza bidhaa zao kwa wafanyakazi wa Airtel na kuwawezesha kupata fedha kwaajili ya kuwa na banda lao katika maonyesho ya 38 ya kimataifa  ya SABASABA.
Akiongea wakati wa uzinduzi huo...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL DIVAS WATOA MSAADA KWA WANAMAKE WASIOJIWEZA

Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kazi Services Ltd, Zuhura Muro (kushoto), huku akisaidiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, Happy John wakikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa kikundi hicho, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kukisadia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani