Chuo IRDP Dodoma chaadhimisha mahali ya 28 kwa mafanikio

Mkuu wa kwanza wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vjijini (IRDP) Askofu Dkt. Saimon Chiwanga akitoa neno baada ya Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene kumaliza shudhuli ya kutunuku vyeti kwa wahitimu wakati wa mahafali ya 28 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vjijini (IRDP) iliyofanyika jana mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akimtukuku Shahada ya Uzamili katika Uchumi wa Maendeleo Amina Salum Mwanja wakati wa mahafali ya 28 ya Chuo cha Mipango ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCHUO CHA DIPLOMASIA CHAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIA
10 years ago
GPLCHUO CHA IMAMU JAFAR SWADIQ CHAADHIMISHA KIFO CHA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
10 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kongamano la SDGs lafanyika kwa mafanikio Dodoma
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida, akitoa maelezo ya kongamano kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kulifungua kongamano kubwa la siku mbili la kujadili namna taifa linavyojiandaa kutekeleza malengo mapya ya Maendeleo endelevu (SDGs) limefanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma ambalo liliandaliwa na taasisi yake.
Na Mwandishi wetu, Dodoma
KONGAMANO kubwa la siku mbili la kujadili namna taifa linavyojiandaa kutekeleza malengo mapya ya...
10 years ago
Vijimambo
SEMINA YA WATIA NIA UBUNGE CHADEMA KANDA YA KATI YAFANYIKA DODOMA KWA MAFANIKIO



10 years ago
Michuzi15 Jan
Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini


10 years ago
Michuzi.jpg)
Hafla ya kukabidhi Mgodi wa Resolute kwa Chuo cha Madini Dodoma
10 years ago
Bongo523 Oct
Chuo kikuu cha Dodoma kuzalisha umeme wa megawati 55 kwa kutumia jua
11 years ago
Mwananchi09 Dec
‘Hakuna mahali pa kukanyaga’ msibani kwa Mandela
10 years ago
Mwananchi06 Feb
Siku mbili hutumika kutafuta mahali pa kujisadia kwa mwaka