CLARENCE SEEDORF ATIMULIWA AC MILAN, FILIPPO INZAGHI ACHUKUWA MIKOBA YAKE
Clarence Seedorf akiwa mzigoni. KOCHA wa AC Milan, Clarence Seedorf ametimuliwa kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Filippo "Pippo" Inzaghi Filippo "Pippo" Inzaghi. Seedorf alianza kukinoa kikosi hicho chenye maskani yake San Siro mwezi Januari akichukuwa nafasi ya Massimiliano Allegri. AC Milan imemaliza Serie A ikiwa nafasi ya nane msimu… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
Filippo Inzaghi ndiye kocha AC MIlan
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Breaking news: Benitez atimuliwa Madrid… Mikoba yake akabidhiwa Zidane
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Inzaghi Kocha Mpya AC Milan
Filippo Inzaghi.
By Israel Saria
AC Milan wamemfukuza kazi Kocha Clarence Seedorf na kumpa kazi hiyo Filippo Inzaghi.
Seedorf amefukuzwa kazi ikiwa ni pungufu ya miezi mitano tu tangu achaguliwe kushika nafasi hiyo kwa klabu inayocheza Ligi Kuu ya Italia – Serie A.
Mdachi huyu mwenye umri wa miaka 37 alipewa mikoba kwenye klabu aliyochezea kwa miaka 10 tangu 2002.
Inzaghi naye ni mkongwe aliyechezea AC Milan lakini hajapata kufundisha timu iliyo katika ligi kuu. Alikuwa akifundisha timu...
9 years ago
Bongo505 Jan
Rafael Benitez atimuliwa Real Madrid, nafasi yake yachukuliwa na Zidane
Uongozi wa klabu ya Real Madrid hatimaye umemfukuza kocha wake Rafael Benitez ambaye amedumu kwa miezi 7 pekee.
Nafasi ya Benitez imechukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa Zinedine Zidane ambaye awali alikuwa kocha wa kikosi B cha Real Madrid.
Hii ni kutokana na matokeo mabaya kwa timu hiyo, ambapo ilitoka sare 2-2 na Valencia, katika Mechi ya La Liga, sare ambayo imewaacha vigogo hao nafasi ya 3 wakiwa nyuma ya Atletico Madrid kwa pointi 4.
Tangu atue Madrid, Benitez amekuwa hapendwi...
9 years ago
VijimamboLOWASSA AMALIZA KAZI JIMBO LA MONDULI, AMNADI JULIUS KALANGA KUWA NDIEANAFAA KUSHIKA MIKOBA YAKE
Wananchi wa Mji wa Monduli wakionyesha upendo wao kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa...
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Bodi ya Chelsea yakutana kujadili hatma ya Mourinho, baadhi ya makocha watajwa kuchukua mikoba yake, listi ipo hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Bodi ya Chelsea ikiongozwa na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich imekutana jana jumatano kujadili kuhusu hatma ya kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho (pichani) baada ya klabu hiyo kuendelea kupata matokeo mabaya ambayo hayawaridhishi viongozi na mashabiki wa timu hiyo.
Taarifa zinasema kuwa bodi hiyo ilikutana katika kikao kilichofanyika kwa masaa tisa kujadili hatma ya kocha wa timu yao licha ya mmiliki klabu kuonyesha hali ya kutamani kuendelea kufanya kazi na...
11 years ago
GPLALIYEVUJISHA VIDEO YA JAY Z AKIPIGWA NA SHEMEJI YAKE ATIMULIWA KAZI, ALILAMBA MIL 412 KUTOKA TMZ
11 years ago
GPL