Clinton amkashifu matamshi ya Trump
Hilarry Clinton amemkashifu Donald Trump na kumuita kuwa mtu hatari kwa kutoa matamshi ya ubaguzi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Matamshi ya Trump yagawanya watu
Watu katika maeneo mbalimbali duniani wamepokea matamshi ya Donald Trump kwamba Waislamu wazuiwe kuingia Marekani kwa hisia tofauti.
5 years ago
CCM Blog16 Feb
KUKINZANA RIPOTI RASMI YA WHITE HOUSE NA MATAMSHI YA TRUMP KUHUSU KUULIWA KIGAIDI LUTENI JENERALI SOLEIMANI
![Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani](https://media.parstoday.com/image/4bv6d0faea5c421llkg_800C450.jpg)
9 years ago
Mwananchi12 Dec
Clinton amvaa Donald Trump
Mgombea wa urais kupitia chama cha Democratic, nchini Marekani, Hilarry Clinton amemkashifu mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump na kumuita kuwa mtu hatari.Â
5 years ago
BBCSwahili20 Jun
Mary Trump: Kumbukumbu ya mpwa wa rais Donald Trump inayomdhalilisha rais huyo
Mary Trump anatarajiwa kutoa kitabu kinachomuelezea mjomba wake Donald Trump kama mwanaume hatari sana duniani.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
FA:Matamshi ya unyanyasaji yaripotiwe
Chama cha soka England, FA, kimewataka mashabiki kutoa taarifa kuhusu unyanyasaji wa kijinsia katika michezo
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
Matamshi kuhusu ubakaji yakera India
Matamshi ya mwanasiasa mmoja mwanamke nchini India kuwa wanawake huchangia kwa wao wenyewe kubakwa yamelaaniwa vikali
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Ebola:Matamshi ya Chris Brown yakera
Sijui,lakini nadhani Janga la Ebola ni njia moja ya kudhibiti idadi ya watu duniani,janga hili linatisha kweli,'' aliandika Brown.
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Wasusia mechi kufuatia matamshi ya kibaguzi
Wachezaji wa Los Angeles Clippers nchini Marekani wanasusia kucheza baada ya mmiliki wa timu hiyo kutuhumiwa kwa kosa la matamshi ya kibaguzi
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Pinda: Mnisamehe kwa matamshi niliyoyatoa
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, jana alitumia Ibada ya Shukrani iliyofanyika katika Parokia ya Hananasifu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kulitumikia Taifa kwa zaidi ya miaka 15 na kuwaomba Watanzania wamsamehe kwa matamshi aliyoyatoa akiwa kiongozi, huenda yaliwakwaza baadhi yao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania