Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coastal, Polisi Morogoro vitani kesho Mkwakwani

KLABU ya Coastal Union ya hapa, kesho imepanga kufanya utambulisho wa nyota wake kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania bara itakayoanza Septemba 20. Utambulisho huo unaofahamika kama ‘Coastal...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Coastal Union yajifua kuikabili Polisi Morogoro

Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu "Julio"akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo mara baada ya kumalizika mazoezi yao juzi kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya Ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro itakayochezwa Jumatano wiki ijayo kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro,Picha kwa Hisani ya Coastal Union.

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL YAIPIGIA HESABU PRISON, YAWEKA MIPANGO YA KUHAKIKISHA POINTI TATU ZINABAKI MKWAKWANI

NA MWANDISHI WETU, TANGA.
Timu ya Coastal Union imeanza kuzipigia hesabu pointi tatu muhimu za wapinzani wao Tanzania Prison ili kuweza kuhakikisha wanazichukua wakati watakapokutana kwenye mechi ya Ligi kuu Tanzania bara.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi hiyo ikielekea lala salama.
Akizungumza leo mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya timu hiyo yanayo endelea kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI TANGA.



MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI HAPA.

MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

9 years ago

Habarileo

Coastal Union, JKT Ruvu vitani Ligi Kuu leo

TIMU ya Coastal Union na maafande wa JKT Ruvu leo zitakuwa kwenye viwanja viwili tofauti katika muendelezo wa mechi za Ligi Kuu bara. Coastal Union itamkaribisha ndugu yake African Sports kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga huku JKT Ruvu ikiwa mwenyeji wa maafande wenzao wa Prisons Mbeya.

 

11 years ago

Michuzi

MABONDIA KUZIPIGA KESHO JUMAPILI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA

 Bondia Francis Miyeyusho (kushoto)  akitunishiana misuli na Emilio Norfat ambao watazipiga kesho Jumapili October  5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane.--------------------------------------------   MABONDIA mbalimbali watazipiga siku ya Jumapili kwa ajili ya mpambano wa ubingwa ambapo bondia kutoka mkoa wa Tanga Tanzania Alen Kamote 'Rasta'' atazipiga na Osgood Kayuni wa Malawi kugombea ubingwa wa Dunia wa UBO kg 61.Hiyo ndio siku ya kufurahia kwa wakazi wa Tanga...

 

11 years ago

Michuzi

wapiganaji wa morogoro wakiwa vitani

Wanahabari mahiri wa mji wa Morogoro ambao wanaongozana na Rais Kikwete katika ziara yake ya mkoa huo wakiwa kazini wakati wa kutembelea kituo cha afya cha Mwaya, Morogoro vijijini.

 

10 years ago

Habarileo

Simba hasira zote kwa Coastal kesho

KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr amesema kambi yao ya Lushoto mkoani Tanga itakuwa na tija kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani