COCO COLA KWANZA YAZINDUA DASANI YA CHUPA
Maji ya dasani yakizinduliwa rasmi. Meneja wa Coca Cola Nchini,Yebeltal Getachew (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi mtendaji wa Coca Cola Kwanza, Basil Gadzion, Meneja Mauzo na Masoko, Nalaka Hettiarachchi na Msimamizi wa Masoko, Josephine Masalilwa wakiwa na chupa za maji ya Dasani.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCOCA-COLA YAZINDUA UPYA MAJI YA DASANI
Kutoka kushoto ni Meneja wa Coca- Cola, Yebeital Getachew, Mkurugenzi Mtendaji wa Coca Cola Kwanza, Basil Gadzios, Meneja Masoko wa Coca-Cola Kwanza, Hettiarachchi na Msimamizi wa Masoko Coca-Cola Kwanza, Josephine Msalilwa wakionyesha muonekano mpya wa chupa ya maji ya Dasani baada wakati wa uzinduzi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGFH4yg9OaUKfxR4JY9-cZBWb0gfr21krTvmYGshaYYSzoVA-YbvvMYTkko10XX9Mk0tEFgmozRZkWc9D2nGlg3a/1.jpg?width=650)
UMATI WAFURIKA TAMASHA LA COCA COLA HUKO COCO BEACH DAR
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
SBL yazindua chupa mpya “Tusker 330ml” sokoni
Mkurugenzi Masoko wa kampuni ya bia Serengeti, Bw.Ephraim Mafuru, akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Tusker yenye ujazo wa milimita 330, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Wateja wa bia ya Tusker Lager kwa mara nyingine wamepewa heshima baada ya kampuni ya Serengeti Breweries kuingiza sokoni chupa ya bia mpya inayojulikana kama “Tusker ml330”
Chupa hii mpya imezinduliwa mapema jana -Golden Jubilee Tower iliyoko jijini Dar Es...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LaWD0WPEFjo/VhWFopGjndI/AAAAAAAH9cQ/qxRZrsgCAls/s72-c/1.jpg)
UHURU ONE YAZINDUA MFUMO WA KWANZA WA MAWASILIANO YA 4G DVNO LEO JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-LaWD0WPEFjo/VhWFopGjndI/AAAAAAAH9cQ/qxRZrsgCAls/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0Ceu2yVSkZs/VhWFon_WgcI/AAAAAAAH9cU/Y43AvdS-JIA/s640/2.jpg)
KAMPUNI ya Tigo na kampuni ya UhuruOne wameanzisha...
10 years ago
Dewji Blog04 Feb
Benki ya I&M yazindua huduma ya kwanza ya mfumo wa Kielektroniki ya masaa 24 jijini Dar
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking Solutions Ltd ambapo mteja anaweza kuweka na kutoa pesa sambamba na kupata huduma nyingine za kibenki kama kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mashine za kielektroniki masaa 24 ya siku.Hafla hiyo ilifanyika Viva Tower-Posta jijini Dar es Salaam, Kulia ni Meneja wa I&M wa tawi hilo Bi. Shabina...
10 years ago
MichuziBENKI YA I&M YAZINDUA HUDUMA YA KWANZA YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI YA MASAA 24 KATIKA JENGO LA VIVA TOWERS, JIJINI DAR
9 years ago
Bongo Movies26 Nov
Kupa Apigwa Chupa Klabu
MSANII wa filamu za Kibongo, Rashid Makupa ‘Kupa’ hivi karibuni alikuwa katika wakati mgumu baada ya kupigwa chupa kichwani na Kundi la Panya Road lililovamia sherehe ya kuzaliwa ya msanii mwenzake, Maira Mlope.
Tukio hilo lilitokea ndani ya Klabu ya Philemon Lounge, Kinondoni-Manyanya jijini Dar ambapo lilizuka varangati baada ya kijana mmoja aliyekolea ulabu kutoka nje ya klabu hiyo na kulichokoza kundi hilo lililokuwa likipita na kulazimika kuingia ndani likiwa na silaha mbalimbali kama...
10 years ago
GPLCHUPA CHAKAVU ZAONGEZA AJIRA BINAFSI
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Chupa ndogo hatari kwa walevi DRC