Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kupa Apigwa Chupa Klabu

MSANII wa filamu za Kibongo, Rashid Makupa ‘Kupa’ hivi karibuni alikuwa katika wakati mgumu baada ya kupigwa chupa kichwani na Kundi la Panya Road lililovamia sherehe ya kuzaliwa ya msanii mwenzake, Maira Mlope.

Tukio hilo lilitokea ndani ya Klabu ya Philemon Lounge, Kinondoni-Manyanya jijini Dar ambapo lilizuka varangati baada ya kijana mmoja aliyekolea ulabu kutoka nje ya klabu hiyo na kulichokoza kundi hilo lililokuwa likipita na kulazimika kuingia ndani likiwa na silaha mbalimbali kama...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUPA ANASWA NA MWANAUME TATA

Na Richard Bukos
Msanii wa filamu mwenye vituko kibao, Idrisa Makupa ‘Kupa’  juzikati aliwaacha watu midomo wazi baada ya kunaswa akiwa beneti na mwanaume tata maarufu mjini anayefahamika kwa jina la Danny.Wawili hao walibambwa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Escape One uliopo Mikocheni jijini Dar kulikokuwa na onesho la mwanamuziki Christian Bella. Msanii wa filamu mwenye vituko kibao, Idrisa Makupa...

 

9 years ago

MillardAyo

Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta

Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]

The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...

 

10 years ago

GPL

CHUPA CHAKAVU ZAONGEZA AJIRA BINAFSI

Jamaa anayeokota chupa chakavu akikatiza eneo la Mapambano- Sinza. Mwingine akiwa eneo la Bamaga…

 

10 years ago

Dewji Blog

Avunja chupa na kuanza uzazi akiwa harusini

.Ni rafiki wa bi harusi ambaye alikuwa awe matroni

.Mume achanganyikiwa kwani ndiye Best man

.hekaheka zatokea ajifungulia kwenye gari

article-0-20F7421600000578-138_636x382

Na  MOblog Team, kwa msaada wa mtandao

MWANAMKE ambaye alitakiwa kuwa matroni na kisha kumkatalia rafiki yake kwa kuwa alikuwa mjamzito na aliogopa kumharibia shughuli yake, amejikuta akikimbilia katika gari kwa ajili ya kujifungua muda mfupi tu baada ya kuingia katika sherehe za rafiki yake.

Alisema awali kwamba alikataa kuwa matroni kwa kuhofia sit u...

 

11 years ago

GPL

BABA AMUUA MTOTO KWA CHUPA YA BIA

Stori: Imelda mtema
Masikini wa Mungu! Baba aliyetajwa jina moja la Shaban (25), mkazi wa Kimara-Suka, Dar anadaiwa kuhusika katika mauaji ya mtoto wake asiye na hatia, Salma Shaban (miezi sita) kwa kumpiga na chupa ya bia kichwani na kusababisha mshipa mkubwa wa damu kukatika kichwani. Akilisimulia Risasi Jumamosi mkasa huo wa kuumiza moyo, mama mzazi wa mtoto huyo, Matlida Amon alieleza kuwa tukio hilo lilijiri maeneo hayo...

 

11 years ago

GPL

KIJANA AJICHOMA CHUPA, KISA... MAISHA MAGUMU

Na Makongoro Oging’
NI kweli ugumu wa maisha unaweza kumfanya mtu achanganyikiwe na kutamani kujiua ili aondokane na maisha ya duniani?! Fuatilia mkasa wa kijana huyu, Anord au baba Anjela, mkazi wa Tandika jijini Dar es Salaam ambaye wiki iliyopita aliwashangaza watu waliokuwa katika baa moja iliyopo Davis Corner jijini Dar baada ya kununua bia na kujipiga nayo kichwani, si kwa kufurahisha watu bali kutaka kujiua. Tukio...

 

11 years ago

BBCSwahili

Chupa ndogo hatari kwa walevi DRC

Unywaji wa pombe umeongezeka kwa kiasi kikubwa mjini Kinshasa DRC kutokana na utengenezaji wa chupa ndogo za pombe

 

10 years ago

Dewji Blog

Tona ya Coraltint katika chupa mpya yazinduliwa

IMG_0665-01+1

Kampuni kubwa nchini Tanzania inayoongoza katika utengenezaji wa rangi mbalimbali ya Coral paints inaendelea kuonyesha dhamira yake ya dhati kwa wateja wake kwa kuwapatia huduma bora, kuongeza maboresho na ubunifu katika bidhaa zake. Hivi karibuni kampuni hiyo ya rangi imezindua tona mpya chini ya jina la CORALTINT ambayo imeboreshwa na imefanyiwa baadhi ya mabadiliko katika mfuniko wake.

Hatua hiyo ya maendeleo imefikiwa baada ya kupokea maoni na ushauri kutoka kwa wateja wake katika...

 

10 years ago

GPL

COCO COLA KWANZA YAZINDUA DASANI YA CHUPA

Maji ya dasani yakizinduliwa rasmi.
Meneja wa Coca Cola Nchini,Yebeltal Getachew (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi mtendaji wa Coca Cola Kwanza, Basil Gadzion, Meneja Mauzo na Masoko, Nalaka Hettiarachchi na Msimamizi wa Masoko, Josephine Masalilwa wakiwa na chupa za maji ya Dasani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani