Cuba yatuma madaktari zaidi kutibu Ebola
Fidel Castro aahidi kuwa Cuba itatuma matatibu zaidi Afrika Magharibi mbali ya wale waliokwishapelekwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Balozi Seif Iddi awatoa hofu madaktari wa Cuba, Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Kiongozi wa Madaktari wa Cuba Profesa Ulpiano Nyumbani kwake Vuga Mjini Zanzibar baada ya kuvamiwa na majambazi jana usiku yeye na wenzake maeneo kati ya Kikwajuni na SUZA.
Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi Msaidizi Kamishna wa Polisi { ACP } Mkadam Khamis Mkadam alisema Jeshi la Polisi Mkoa huo linawashikilia watu wawili miongoni mwa majambazi wanaotuhumiwa kuhusika na uvamizi wa Madaktari Bingwa wa Cuba katika...
5 years ago
BBCSwahili26 May
Virusi vya corona: Madaktari wataja mchanganyiko wa dawa unaoweza kutibu Covid-19
11 years ago
Michuzibalozi seif atembelea madaktari bingwa kutoka cuba, akutana na mkurugenzi wa maonesho ya biashara wa uturuki
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
EBOLA: DRC yatuma watabibu Guinea
10 years ago
Mwananchi18 Oct
EAC yatuma wataalamu 600 kukabili ebola
10 years ago
BBCSwahili06 Sep
Ebola:Damu ya waliopona kutibu ugonjwa
10 years ago
Habarileo09 Oct
Watanzania 5 kutibu ebola Afrika Magharibi
MADAKTARI watano wa afya wamejitolea kwenda kutoa huduma katika baadhi ya nchi za Afrika Magharibi zilizoathiriwa na ugonjwa wa ebola. Wataalamu hao walioondoka jana, baadhi yao walizungumza na waandishi wa habari katika mkutano kati ya Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mmbando na vyombo vya habari.
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Hofu ya Ebola kuwa sugu kutibu
10 years ago
BBC