CUF kuandamana kupinga diwani wao aliyehamia CCM
![](http://4.bp.blogspot.com/-o7wAZVv9cn4/U6cQ0pVKHlI/AAAAAAAFsSY/mLfzrRQJBT4/s72-c/seif-sharif.jpg)
Chama cha Wananchi (CUF) wilaya ya Tanga kimesisitiza kufanya maandamano ya amani mwanzo mwa wiki hii ya kushinikiza aliyekuwa Diwani wa chama hicho Kata ya Marungu Mohamed Mambeya, ambaye amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuacha kuhudhuria vikao vya Baraza la Madiwani kutokana na kupoteza sifa.
Kwa mujibu wa Katiba ya CUF kifungu cha 9(1) G ya mwaka 1992 toleo la 2003,”Mwanachama yeyote atasita kuwa mwanachama ikiwa atakuwa mwanachama wa chama kingine cha siasa.
Diwani wa Kata ya Mwanzange...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Nov
CUF wajipanga kuandamana kupinga ufisadi Escrow
CHAMA cha Wananchi (CUF) kwa kushirikiana na wadau wengine kinaandaa maandamano ya kulaani vitendo walivyoviita vya kifisadi vilivyoibuliwa kuhusu akaunti ya Tegeta ya Escrow bungeni na kuwapongeza wabunge walioibua hoja hiyo.
10 years ago
Mwananchi01 Sep
CUF kuandamana siku tatu kupinga Bunge la Katiba
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Cuf yaungana na CCM kupinga matokeo ya ubunge
9 years ago
Mwananchi13 Sep
CUF Z’bar wadai CCM imevunja mkutano wao
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Kuandamana Dar kupinga mauaji Palestina
TAASISI ya Hawzat-Imam-Swadiq (A.S), iliyopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, imepanga kufanya maandamano kesho kupinga mauaji yanayoendelea Mashariki ya Kati dhidi ya Wapalestina. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,...
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Washindwa kuandamana kupinga rasimu ya Sitta
WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Geita wameshindwa kuandamana kwa amani kupinga rasimu ya Kaitba mpya iliyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba jana baada jeshi la polisi...
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Albino kuandamana kwenda Ikulu kupinga vitendo vya mauaji dhidi yao
Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner.
Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-n8AlC8yli5s/VK-cHjr7FvI/AAAAAAAG8LY/c45OIeQp1rk/s72-c/MMGM4299.jpg)
CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-n8AlC8yli5s/VK-cHjr7FvI/AAAAAAAG8LY/c45OIeQp1rk/s1600/MMGM4299.jpg)
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...
10 years ago
GPLALBINO KUANDAMANA KWENDA IKULU KUPINGA VITENDO VYA MAUAJI DHIDI YAO