Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF kuipinga CCM mahakamani

Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza kwenda  mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi katika majimbo sita, kutokana na kile ilichoeleza ukiukwaji wa sheria na kanuni za uchaguzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wazidi kuipinga bajeti

>Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi jana waliipinga hadharani bajeti ya Serikali inayoendelea kujadiliwa bungeni, kwa madai hawatakuwa tayari kuiunga mkono kwa kuwa haina jipya.

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI CUF ALIZIMIA MAHAKAMANI!

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Kata ya Sandare, Temeke jijini Dar, Abina Ally akiwa Mahakamani. Denis Mtima/Amani
MAJANGA! Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Kata ya Sandare, Temeke jijini Dar, Abina Ally Abina amejikuta akipandwa na presha kisha kuzimia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Tukio hilo ambalo lilikuwa gumzo lilijiri hivi karibuni mahakamani hapo ambapo Abina alikuwa miongoni mwa wafuasi 30...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafuasi CUF wacheza ‘sinema’ mahakamani

Ilikuwa kama sinema wakati wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaokabiliwa na kesi ya kufanya maandamano na mikusanyiko isiyo halali, wakitimua mbio mahakamani baada ya kufutiwa mashtaka kwa muda.

 

10 years ago

StarTV

  CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.

Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.

Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.

 Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaibwaga CCM mahakamani

>Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imezidi kupata pigo baada ya Mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji 16 vya mji mdogo wa Mirerani, kwa maelezo kuwa ulikiuka sheria na utaratibu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

CCM kupinga mahakamani matokeo ya majimbo manne

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye majimbo ya Kawe, Ndanda, Mikumi na Iringa Mjini na kimesema kitayapinga matokeo hayo mahakamani.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yapigwa mweleka mahakamani kesi ya uchaguzi

Kiteto.Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, kimepata pigo baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kiteto, kutengua matokeo ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Lobosireti kwa kukiuka sheria na utaratibu wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba, mwaka jana.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM kupinga matokeo ya Mdee, Mch. Msigwa mahakamani

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimelalamikia utaratibu wa ukusanya kura na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo, huku kikikusudia kukata rufaa mahakamani  kupinga matokeo ya Jimbo la  Mikumi, Kawe, Iringa Mjini na Ndanda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani