MWENYEKITI CUF ALIZIMIA MAHAKAMANI!
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Kata ya Sandare, Temeke jijini Dar, Abina Ally akiwa Mahakamani. Denis Mtima/Amani MAJANGA! Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Kata ya Sandare, Temeke jijini Dar, Abina Ally Abina amejikuta akipandwa na presha kisha kuzimia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Tukio hilo ambalo lilikuwa gumzo lilijiri hivi karibuni mahakamani hapo ambapo Abina alikuwa miongoni mwa wafuasi 30...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Nov
CUF kuipinga CCM mahakamani
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Wafuasi CUF wacheza ‘sinema’ mahakamani
10 years ago
StarTV04 Nov
 CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.
Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.
Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.
Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...
10 years ago
StarTV31 Oct
CUF wamtaka Mwenyekiti wa tume ya ZEC kubatilisha uamuzi wake
Chama cha wananchi CUF kimemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Zanzibar, Jecha Salum Jecha kubatilisha uamuzi wake wa kufuta matokeo ya uchaguzi Visiwani humo, na kuitisha uchaguzi mpya ndani ya siku 90.
Chama hicho kimesema hakitambui uamuzi huo kwa kuwa umekiuka baadhi ya vifungu vya katiba kwa kutoa uamuzi usioshirikisha wajumbe wengi wa tume hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Twaha Taslima alitoa tamko la chama hicho Jijini Dar es Salaam kuhusiana na uamuzi huo wa...
10 years ago
Mwananchi02 Oct
Mwenyekiti wa CUF Bukoba na wengine 15 mbaroni kwa tuhuma za kuchoma makanisa
10 years ago
GPLAMINA MWIDAU (VITI MAALUMU CUF) NDIYE MWENYEKITI MPYA WA KAMATI YA PAC
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA CHAMA CHA CUF KUFUATIA MWENYEKITI WAO KUTANGAZA KUJIUZULU LEO JIJINI DAR

Sisi kama Chama tumezipokea taarifa hizo na tunayaheshimu maamuzi yake. Ni haki yake ya kikatiba na haki ya kidemokrasia kufanya maamuzi anayoyaona yana maslahi kwake.
Bila shaka, Profesa Ibrahim Lipumba amekifanyia kazi kubwa Chama chetu katika miaka 16 ambayo...
11 years ago
Michuzi13 Feb
NEWS ALERT:MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA IRINGA AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA KUDAIWA KUPIGA PICHA MAHAKAMANI.

Picha na Francis Godwin-Iringa.