Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

Chama Cha Wananchi(CUF) kimepinga wazo na rai ya kupunguza masharti ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ili kulegeza nguvu zake kisheria na kuwapa fursa Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CUF yapinga rasmi ushindi wa CCM Mbagala

Chama cha Wananchi (CUF) kimeuweka rehani ushindi wa mbunge mteule wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Issa Mangungu, baada ya kufungua kesi kikipinga matokeo yaliyompa ushindi huo katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Akaunti ya pamoja Bara, Z'bar hekaheka

MWENYEKITI wa Kamati Namba Moja, Ummy Mwalimu, amesema pamoja na Kamati yake kupitisha sura zote kwa kupata theluthi mbili kila upande, suala la akaunti ya pamoja kwa Tanzania Bara na Zanzibar, hawakufanya uamuzi na lilikuwa na hekaheka kubwa.

 

10 years ago

Habarileo

22.4% Tanzania bara na 15.8% Z’bar hawajui kusoma

KWA mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, takwimu zinaonesha kuwa watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea wasiojua kusoma na kuandika ni asilimia 22.4 Tanzania bara na asilimia 15.8 Zanzibar.

 

10 years ago

Habarileo

‘Ardhi ya Zanzibar haijauzwa Bara’

WAZIRI wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaaban amesema Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi, ndiyo itakayotoa fursa kwa Zanzibar kuchimba mafuta na gesi, ambayo yameondolewa katika orodha ya mambo ya Muungano.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZEE WA CHAMA CHA CUF KISIWANI PEMBA WATAKA KUPEWA ELIMU YA KUPIGA KURA

  Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wazee wa CUF wa Wilaya nne za Pemba katika mkutano na wazee hao uliofanyika Ofisi za CUF Mkanjuni ChakeNaibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kwenye mkutano huo. (picha na Salmin Said, OMKR).  Baadhi ya wazee wa CUF kisiwani Pemba wakieleza dukuduku lao mbele ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad, huko Mkanjuni Chake Chake Pemba.
Baadhi ya wazee wa CUF kisiwani Pemba wakieleza dukuduku lao mbele ya...

 

9 years ago

Habarileo

‘Mazungumzo CUF, CCM hayazuii uchaguzi Z’bar’

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) - Zanzibar kimesema mazungumzo yanayoendelea nchini yakiwahusisha viongozi wakuu wa kisiasa kamwe hayajazuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu ambao matokeo yake yalifutwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yajipanga majimbo 50 Z’bar

Zanzibar. CUF imetangaza majina ya wagombea waliopendekezwa kuwania ubunge na uwakilishi Zanzibar katika majimbo 50, likiwamo jina la kada wa CCM, Mohamed Hashim Ismail.

 

9 years ago

StarTV

Wachezaji wa zamani wa timu za Taifa Bara na Z’bar kucheza mchezo maalum.  

 Wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na wachezaji wa zamani wa timu ya Zanzibar Heroes watacheza mechi ya kirafiki December 09 mwaka huu kwa Lengo la kuhamasisha amani katika visiwani Zanzibar.

Mechi hiyo itapigwa katika Uwanja wa Amani ambapo pande zinazotofautiana kisiasa zitaalikwa ili kuzungumza na wanachama kuwa watulivu kipindi hiki ambapo suluhu inatafutwa.

Wakati huohuo michuano ya kuwania kombe la Challenge inaendelea huko nchini Ethiopia,timu ya Kilimnajaro...

 

9 years ago

TheCitizen

CUF: No need to conduct fresh polls in Z’bar

Civic United Front (CUF) has ruled out the possibility of conducting fresh elections in Zanzibar, insisting that the announcement to annul them should be re-called.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani