Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mazungumzo CUF, CCM hayazuii uchaguzi Z’bar’

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) - Zanzibar kimesema mazungumzo yanayoendelea nchini yakiwahusisha viongozi wakuu wa kisiasa kamwe hayajazuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu ambao matokeo yake yalifutwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

CCM walalamikia tume ya uchaguzi NEC, kufuatia kukosa majimbo manne Tanzania Bara

January

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma:

MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na...

 

11 years ago

Mwananchi

CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

Chama Cha Wananchi(CUF) kimepinga wazo na rai ya kupunguza masharti ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ili kulegeza nguvu zake kisheria na kuwapa fursa Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani Zanzibar.

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Ohilip Mangula akiteta jambo na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanalu Mstaafu Ngemela Lubinga wakati wa uzinduzi wa  jengo la  ofisi ya CCM mkoa wa Geita



15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na  viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.

Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...

 

11 years ago

Habarileo

Mazungumzo ya mpaka yasubiri uchaguzi Malawi

JOPO la marais wa zamani wanaoshughulikia mgogoro wa Ziwa Nyasa baina ya Tanzania na Malawi, linasubiri kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Malawi unaotarajia kufanyika Jumanne ijayo, ili kuingia katika awamu ya pili ya mazungumzo ya kumaliza mgogoro huo.

 

10 years ago

Michuzi

Mazungumzo na Salma Moshi kuhusu uchaguzi DMV

 Salma Moshi akizungumza na Mubelwa Bandio kwenye mahojiano haya
Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.Mmoja wa wagombea hao, Salma Moshi amaketi nasi kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014 chini ya utayarishaji wa Vijimambo BlogKaribu uungane nasi kusikia anachopinga

 

9 years ago

GPL

MCHAKATO WA UCHAGUZI BARA KUENDELEA- LUBUVA

Jaji Damian Lubuva akiongea na wanahabari (hawapo pichani) leo. MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva hivi punde amesema kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar hakutasababisha kuahirishwa au kufutwa kwa uchaguzi wa Tanzania Bara na kusisitiza kuwa mchakato wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaendelea kama ulivyopangwa. Jaji Lubuva ameongeza kuwa tayari NEC imepokea taarifa zote za...

 

10 years ago

Michuzi

Mazungumzo na Liberatus Mwang'ombe na Solomon Chris baada ya Uchaguzi DMV

Mubelwa Bandio kati akiwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (L) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris (R0 wakati wa mahojianoAgosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.Wamaketi na Vijimambo Blog na Kwanza Production kueleza sababu hasa za kupinga matokeo...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani