CUF yatii amri, yasitisha maandamano
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesalimu amri kwa kukubali kutii agizo ya jeshi la polisi kwa kusitisha maandamano yao yaliypokuwa yafanyike jana, Jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Lipumba azima maandamano ya CUF
10 years ago
Habarileo26 Jan
Lipumba kuongoza maandamano ya CUF
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepanga kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 14 tangu mauaji ya Zanzibar, kesho.
10 years ago
Habarileo13 Feb
Maandamano ya Vijana CUF yapigwa ‘stop’
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani.
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku
10 years ago
Mwananchi29 Jan
CUF yaapa kuendelea na maandamano kila mwaka
10 years ago
GPLKOVA APIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF
10 years ago
Habarileo28 Jan
Maandamano ya chama cha CUF yapigwa ‘stop’
CHAMA cha Wananchi -CUF kimeamua kuahirisha maandamano yake, yaliyopangwa kufanyika jana, ikiwa ni ishara ya kuadhimisha miaka 14 ya vifo vya wafuasi wake waliopoteza maisha Januari 27, mwaka 2001.
10 years ago
Habarileo11 Jun
Siro aeleza sababu CUF kuzuiwa maandamano
MKUU wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa walikataza maandamano ya CUF kwasababu kulikuwa na taarifa za vitendo vya ugaidi ambavyo vingeweza kuwadhuru.
10 years ago
Mtanzania13 Feb
Waziri wa Z’bar leo kuongoza maandamano ya CUF Dar
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza maandamano yanayofanyika leo jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Waziri wa Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Juma Duni Haji.
Duni ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CUF, anatarajiwa kuwaongoza wafuasi wa chama hicho katika maandamao hayo licha ya Jeshi la Polisi kuyazuia.
Mbali ya Waziri Duni, maandamano hayo pia yataongozwa na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho.
Akizungumza na waandishi wa...