Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yaapa kuendelea na maandamano kila mwaka

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema, hakitarudi nyuma na kitaendelea kufanya maandamano na mikutano ya hadhara kila Januari 26 na 27 kila mwaka kuazimisha mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

CUF ngangari yaapa kuandamana kila mwaka

Makamu Mwenyekiti wa CUF, Juma Duni HajiCHAMA cha Wananchi (CUF) kimedai kuwa licha ya kushindwa kuandamana hivi karibuni huku viongozi na wafuasi wake wakiingia matatani kutokana na kukiuka agizo la Jeshi la Polisi la kutoandamana, kimesisitiza kitaendelea kuandamana kila ifikapo Januari 27, ya kila mwaka.

 

10 years ago

Michuzi

97.3 EFM wamwaga wese kwa kila mdau waliyemkuta ana sticker yao ya mwaka jana. zoezi kuendelea tena jumatano

UnaambiwanKama una sticker ya 97.3 EFM ya mwaka jana….wese la bure la kumwaga. Jana tuligawa wese Kinondoni…TSN Bamaga, Jumatano  tupo Ilala, TSN TABATA...Ushindwe wewe tu...!Wadau wa 97.3 EFM wakipata wese la bure katika kituo cha mafuta cha TSN Bamaga jijini Dar es salaam baada ya kukutwa na sticker ya mwaka jana ya 97.3 EFMFoleni katika kituo cha mafuta cha TSN Bamaga jijini Dar es salaam baada ya wadau kukutwa na sticker ya mwaka jana ya 97.3 EFMWese mbele kwa mbeleMtangazaji wa Gardner...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jordan yaapa kuimaliza IS kwa kila hali

Jordan yasema mashambulizi waliyoyafanya dhidi ya IS ni mwanzo tu

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba azima maandamano ya CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amefanikiwa kuzima maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa chama hicho yaliyopangwa kufanyika jana.

 

10 years ago

Habarileo

Lipumba kuongoza maandamano ya CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepanga kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 14 tangu mauaji ya Zanzibar, kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku

Licha ya Jumuiya ya vijana wa Chama cha Wananchi (CUF) kusisitiza azma yao ya kuandamana leo, polisi imepiga marufuku maandamano hayo na kusema halitosita kutumia nguvu endapo vijana wa chama hicho watakaidi amri ya kutoandamana.

 

10 years ago

Habarileo

Maandamano ya Vijana CUF yapigwa ‘stop’

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaPOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani.

 

10 years ago

Habarileo

CUF yatii amri, yasitisha maandamano

Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim LipumbaCHAMA cha Wananchi (CUF) kimesalimu amri kwa kukubali kutii agizo ya jeshi la polisi kwa kusitisha maandamano yao yaliypokuwa yafanyike jana, Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yazima maandamano ya Chadema Dodoma, ni ya kupinga kuendelea Bunge la Katiba

Jeshi la polisi mkoani Dodoma leo limezima maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupinga kuendelea kwa vikao vya Bunge la Katiba kwa kile wanachodai ni kufuja fedha za umma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani