Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF ngangari yaapa kuandamana kila mwaka

Makamu Mwenyekiti wa CUF, Juma Duni HajiCHAMA cha Wananchi (CUF) kimedai kuwa licha ya kushindwa kuandamana hivi karibuni huku viongozi na wafuasi wake wakiingia matatani kutokana na kukiuka agizo la Jeshi la Polisi la kutoandamana, kimesisitiza kitaendelea kuandamana kila ifikapo Januari 27, ya kila mwaka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CUF yaapa kuendelea na maandamano kila mwaka

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema, hakitarudi nyuma na kitaendelea kufanya maandamano na mikutano ya hadhara kila Januari 26 na 27 kila mwaka kuazimisha mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jordan yaapa kuimaliza IS kwa kila hali

Jordan yasema mashambulizi waliyoyafanya dhidi ya IS ni mwanzo tu

 

10 years ago

Habarileo

CUF wajipanga kuandamana kupinga ufisadi Escrow

CHAMA cha Wananchi (CUF) kwa kushirikiana na wadau wengine kinaandaa maandamano ya kulaani vitendo walivyoviita vya kifisadi vilivyoibuliwa kuhusu akaunti ya Tegeta ya Escrow bungeni na kuwapongeza wabunge walioibua hoja hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

CUF kuandamana siku tatu kupinga Bunge la Katiba

Chama cha Wananchi (CUF) kitafanya maandamano ya siku tatu za kazi kupinga kuendelea kufanyika kwa vikao vya Bunge la Katiba ambayo yatafanyika katika mikoa ya Dodoma na Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

CUF kuandamana kupinga diwani wao aliyehamia CCM


Chama cha Wananchi (CUF) wilaya ya Tanga kimesisitiza kufanya maandamano ya amani mwanzo mwa wiki hii ya kushinikiza aliyekuwa Diwani wa chama hicho Kata ya Marungu Mohamed Mambeya, ambaye amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuacha kuhudhuria vikao vya Baraza la Madiwani kutokana na kupoteza sifa.

Kwa mujibu wa Katiba ya CUF kifungu cha 9(1) G ya mwaka 1992 toleo la 2003,”Mwanachama yeyote atasita kuwa mwanachama ikiwa atakuwa mwanachama wa chama kingine cha siasa.

Diwani wa Kata ya Mwanzange...

 

10 years ago

BBCSwahili

UN kuzindua ombi lake la kila mwaka

Umoja wa mataifa utazindua ombi lake la msaada wa kibinadamu wa mwaka 2015 baadaye leo kwa ajili ya kukabiliana na madhara ya vita na mizozo ya kibinadamu duniani kote. kusaidia

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi walia na maafa ya kila mwaka

WANANCHI wa kitongoji cha Mwayunge mjini Igunga mkoani Tabora wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kushindwa kudhibiti maafa yanayotokea kila mwaka nyakati za masika. Wakizungumza na waandishi wa habari kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tani 18 za dhahabu zapotea kila mwaka

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefichua kuwapo kwa utoroshaji mkubwa wa madini unaofanywa na baadhi ya wachimbaji wadogo na kubainisha tani 18 za dhahabu hutoroshwa kila mwaka kwenda nje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani