CUF yawacheka IGP, Msajili
Chama cha Wananchi (CUF) kimemcheka Msajili wa Vyama vya Siasa na Mkuu wa Jeshi la Polisi kutokana na agizo lao la kutaka vikosi vya ulinzi vya vyama vya siasa vifutwe, vikisema havitatekeleza na kama kuna haja basi kipewe Sh1 bilioni za mabadiliko ya katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Apr
Msajili avipiga mkwara CCM, Chadema, CUF

Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama kurekebisha katiba zao kwenye kipengele kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama.Vyama vyenye vikosi cha ulinzi na usalama ni Chadema chenye Red Brigade, CCM (Green Guard), CUF (Blue Guard) na sasa ACT-Wazalendo (ACT Amani).Mutungi alisema uanzishwaji wa vikundi hivyo unakwenda kinyume na Katiba ya nchi inayolipa jeshi la polisi mamlaka ya...
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Msajili wa Vyama vya Siasa arushiwa lawama mpya CUF
11 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.



10 years ago
VijimamboLIPUMBA NDIE MGOMBEA PEKEE CUF ATAKAE WAKILISHA CUF KUGOMBEA URAIS UKAWA

11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
CHADEMA: Msajili amekurupuka
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekurupuka kutoa tamko kuhusu ukomo wa viongozi wao pasipo kuzingatia kwa ukamilifu maelezo na vielelezo...
11 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Ofisi ya Msajili yasukwa
WAJUMBE wa Bunge la Katiba, wamezifanyia maboresho makubwa Ibara za 197, 198 na 119 za sehemu ya tatu ya Sura ya 12 ya Rasimu ya Katiba kuhusu usajili na usimamizi...
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Msajili agomea mabadiliko Chadema
11 years ago
Habarileo20 Jul
Msajili akiri uhaba wa wafamasia
MSAJILI wa Baraza la Famasia nchini, Elizabeth Shekalaghe amesema taaluma ya famasia inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa mafamasia ambapo kwa sasa nchi nzima wapo 1,100 ambao wamesajiliwa.