Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWT waomba uchunguzi SEK

 CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeiomba serikali iunde tume kuchunguza adha wanazopata walimu wa Shirika la Elimu Kibaha (SEK) kwani wamekuwa na matatizo makubwa ambayo serikali imeshindwa kuyatatua kwa muda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHULE YA SEK MAPINGA YAONDOKANA NA UKOSEFU WA MAJI

 NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO
WANAFUNZI 320 wa shule ya sekondari ya Kata ya Mapinga wameondokana na kero ya ukosefu wa maji uliokuwa ukiwakabili,baada ya taasisi ya It’s Time To Help Foundation Tanzania ikishirikiana na Feza Schools Tanzania kutekeleza mradi wa uchimbaji kisima kilichogharimu mil.12.
Ofisa Uhusiano wa Taasisi hiyo, Mbwana Kitendo akizungumza kwenye makabidhiano ya mradi huo alisema, taasisi hiyo ina utaratibu wa kutoa misaada kwa jamii katika sekta za afya, elimu na ustawi wa...

 

5 years ago

Michuzi

MKWIRU NA USHIRIKA WAKE ONE TEAM KUIPAISHA TIMU YA MWAMBISI SEK KUPATA UZOEFU GERMAN

 NA MWAMVUA MWINYI, PWANI

WADAU wa michezo kutoka German One Team kwa ushirika na Ibrahim Mkwiru ,wameeleza ndoto yao ya kuchukua timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kike, katika shule ya sekondari ya Mwambisi kwenda nchini Ujeruman kuchota uzoefu na timu nyingine za shule za sekondari nchini humo ili kuwa na uzoefu.

Aidha ushirika huo,umeeleza mpira wa miguu sio kwa ajili ya watoto wa kiume pekee hivyo watoto wa kike wanapaswa kujiandaa kuucheza kuanzia mashuleni ili kuweza kuchukuliwa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CWT yawazawadia walimu wastaafu

CHAMA cha Walimu (CWT) manispaa ya Morogoro kimeanzisha utaratibu mpya wa kuwazawadia walimu wake wastaafu samani mbalimbali kama shukrani ya utendaji wao wa kazi kwa miaka waliotumikia. Akikabidhi zawadi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Muundo wa Muungano waipasua CWT

Msimamo wa Makamu wa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Honoratha Chitanda kuunga mkono serikali moja ndani ya Bunge Maalumu la Katiba huenda ukamgharimu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CWT Ngorongoro wamlalamikia Mkurugenzi

CHAMA Cha Walimu Nchini (CWT), wilayani Ngorongoro kimemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, John Mgalula kwa kukataa kuunda Baraza la Wafanyakazi. Imedaiwa kuwa hali hiyo imepunguza ari ya watumishi...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu Nzega wajitoa CWT

WALIMU wa shule za msingi na sekondari wilayani Nzega mkoani Tabora wamesema wamejitoa katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kwa kuwa hakina faida kwao.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaopinga CWT kukutana karibuni

KAMATI ya Kitaifa ya wanachama wa chama cha walimu ya kudai mabadiliko ndani ya chama cha walimu Tanzania (CWT), imesema inatarajia kukutana na wanachama, kutoa tamko kutokana na madai yao kutosikilizwa. Mwaka jana Kamati hiyo ilipanga kufanya maandamano, yaliyodaiwa kuwa na tamko zito kuhusu mwenendo uliopo kwa viongozi wa CWT, ambayo baadaye yaliahirishwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yapinga punguzo la mafao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga vikali punguzo la mafao ya wastaafu wanachama wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) na watumishi wanachama wa LAPF. Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu wanaoipinga CWT kuandamana

KAMATI ya Kitaifa ya wanachama wa chama cha walimu ya kudai mabadiliko ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), ina mpango wa kuandamana na kutoa tamko zito, kuhusiana na mwenendo uliopo kwa viongozi wa CWT.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani