Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dafrao ya mgawo na tambo za Rambo

Mmmmmh! Yaani sina budi kuwasifu waheshimiwa wanene wetu, maana kweli akili yao inazidi ya kwetu. Hebu fikiria. Walipotuambia kwamba mgao itakuwa historia, tulijua maana yake ni kwamba hakutakuwa na mgawo wa umeme tenda. Kumbe walikuwa wanamaanisha kwamba watafanya mgao wa kihistoria ndani ya marambo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kafulila ’apigwa dafrao’ jina la Zitto

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe juzi jioni alijikuta akishangiliwa katika mkutano uliokuwa ukihutubiwa na mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa licha ya baadhi ya wazungumzaji katika mkutano huo kutoa maneno ya kumponda Zitto.

 

10 years ago

GPL

RAMBO: MAYWEATHER ATASHINDA PAMBANO DHIDI YA PACQUIAO

Mabondia wa ngumi za uzito wa juu zaidi duniani, Floyd Mywether na Manny Pacquiao wanaotarajia kupanda uliongoni kuoneshana ubabe tarehe 2, Aprili mwaka huu. MCHEZA sinema maarufu duniani wa Marekani, Sylvester Stallone ‘Rambo’ amesema bondia Floyd Mayweather atashinda katika pambano dhidi ya bondia Mfilipino, Manny Pacquiao litakalofanyika Mei 2 mwaka huu. Mcheza sinema maarufu duniani Sylvester Stallone 'Rambo' na...

 

10 years ago

GPL

KICHANGA AUAWA, ATIWA KWENYE MFUKO WA RAMBO

Mwili wa kitoto kichanga uliotupwa kwenye jalala. Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya/UWAZI
UKATILI, Mtoto mchanga ambaye anasadikika kuwa wa siku saba, amekutwa akiwa ameuawa na mwili wake kuwekwa kwenye mfuko wa rambo kisha kutupwa pembeni mwa jalala. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Mtaa wa Kaloleni  katika Mji wa Tunduma katika Wilaya ya Momba, mkoani Mbeya . Wakizungumza na gazeti hili mashuhuda ambao hawakupenda...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AOKOTWA GETINI AKIWA NA NGUO KWENYE RAMBO

MTOTO mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, aliokotwa huko Kibamba CCM, jijini Dar es Salaam, nje ya geti la nyumba ya Getruda Gervans. Mtoto aliyetelekezwa (jina halikufahamika), mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja. Tukio hilo lilitokea  Juni 24, mwaka huu saa moja na nusu asubuhi huku mfuko wenye nguo zake ukiwa pembeni yake.… ...

 

10 years ago

Bongo5

Sylvester Stallone atangaza ujio wa filamu mpya ya ‘Rambo’

Sylvester Stallone ametangaza kwenye Twitter kuhusu ujio wa filamu mpya ya Rambo. Filamu ya kwanza ya Rambo, First Blood ilitoka mwaka 1982. Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 68 ataigiza tena kama John Rambo kwenye muendelezo wa tano wa filamu hiyo ambayo haijulikani itatoka lini.

 

9 years ago

Habarileo

Makocha waanza tambo

MAKOCHA wa timu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara wameanza kutoa tambo kuelekea katika mechi za ufunguzi za msimu wa 2015-2016 mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

LG yakabili mgawo wa umeme

KATIKA kukabiliana na tatizo la mgawo wa umeme nchini Tanzania, Kampuni ya vifaa vya umeme ya  LG imetengeneza friji ya ‘ever cool’ yenye uwezo wa kuhifadhi baridi kwa saa 10....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani