Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dakika mbili zaipeleka Uholanzi robo fainali

FORTALEZA, Brazil
UHOLANZI jana walitumia dakika mbili kupata nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuichapa Mexico mabao 2-1. Mchezaji wa Mexico, skipper Marquez (kushoto) akijiandaa kuokoa mpira katika eneo la hatari. Uholanzi ambao walicheza fainali katika michuano iliyopita ya mwaka 2010 nchini Brazil na kufungwa na Hispania, walikuwa wanapewa nafasi kubwa sana ya kutinga hatua hiyo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BRAZIIL 2014: Costa Rica, Uholanzi zatinga robo fainali

>Costa Rica na Uholanzi zimetinga hatua ya robo fainali ya Fainali za Kombe la Dunia 2014 baada ya kushinda mechi zao za jana za hatua ya 16 bora nchini Brazil.

 

11 years ago

Michuzi

goli la penati dhidi ya mexico yaipeleka uholanzi robo fainali kombe la dunia brazil leo

Kocha wa Uholanzi Louis van Gallakimpongeza Arjen Robben kwa kufanyiwa rafu iliyozaa penati na hatimaye bao la ushindi dhidi ya Mexico leo
Na Sultani Kipingo

wa Globu ya Jamii

Yaani huko Old Trafford katika  klabu ya Manchester United nchini Uingereza atakoenda kufundisha msimu ujao tayari waliishaanza kuandaa ofisi ya meneja wao mpya Louis van Gall anayeifundisha timu ya Uholanzi katika kombe la dunia, baada ya kuhisiwa kuwa ataaga mashindani hayo Jumapili hii walipocheza na...

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatinga robo fainali FA

Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali na kukomesha safari ya Middlesbrough kwa kuifunga 2-0.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mpambano wa robo fainali Brazil

Brazil dhidi ya Columbia, na Ujerumani ikikutana na Ufaransa. Ubelgiji dhidi ya Argentina na Uholanzi nao wanachuana na Costa Rica

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yafuzu robo fainali ya FA

Mabingwa mara saba Liverpool walitoka nyuma na kuishinda Crystal Palace na kufuzu katika robo fainali ya kombe la FA.

 

11 years ago

GPL

TIM KRUL AIPELEKA UHOLANZI NUSU FAINALI

Kipa wa Uholanzi, Tim Krul akipangua penalti ya Michael Umana wa Costa Rica. Tim akishangilia na mwenzake Dirk Kuyt baada ya kuipeleka Uholanzi nusu fainali.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaingia robo fainali CECAFA

Timu ya taifa ya Tanzania bara "Kilimanjaro Stars" imesonga mbele robo fainali ya mashindano ya Afrika Mashariki na Kati CECAFA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani