Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daktari apiga wagonjwa Ngara

Wagonjwa waliolazwa na kupata matibabu katika kituo cha Afya Lukole wilayani Ngara mkoani Kagera, juzi wamejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kupata kipigo kutoka kwa mganga wa kituo hicho ambaye aliwataka kushiriki zoezi la usafi katika vyumba na mazingira ya kituo hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari mmoja huhudumia wagonjwa 10,000

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema daktari mmoja nchini anahudumia wagonjwa 10,000 huku nchi ikiwa na madaktari 4,750. Kutokana na hali hiyo serikali inahitaji madaktari  75,000 kwa ajili...

 

5 years ago

BBCSwahili

Daktari wa Wuhan aliyewapoteza wagonjwa watano usiku mmoja

BBC imezungumza na daktari, ambaye amekua akipambana na virusi vya Corona katika jimbo la Hubei ambako mlipuko ulianzia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Daktari Christian Chenay mwenye umri wa miaka 98 anaendelea kuwatibu wagonjwa wake

Daktari wa Ufaransa Christian Chenay, anaendelea kufanya kazi katika mazingira ambayo ni hatari kwa mtu mwenye umri kama wake

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Chumba cha wagonjwa mahututi ni nini na ni wagonjwa gani wanastahili kukitumia?

ICU ni wodi maalum inayotoa huduma kwa wagonjwa ambao wako katika hali mbaya na watafuatiliwa kwa karibu lakini chumba hiki kikoje?

 

10 years ago

Daily News

Two commit suicide in Ngara district


Two commit suicide in Ngara district
Daily News
TWO people in Ngara District committed suicide in incidents related to stress, the Kagera Regional Police Com- mander (RPC), Mr Henry Mwaibambe has said. He named the deceased as Herman Bilazinama ( 42) and Juma Ramadhani (62), both residents ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara aporwa laki 8/- Ngara

p>KUNDI la watu wanaosadikiwa kuwa majambazi limemvamia mfanyabiashara katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera na kumpora fedha kiasi cha shilingi laki nane. Tukio hilo limetokea Alhamisi iliyopita majira...

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mh. Amina Mwidau (CUF) afaraji wagonjwa na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa Hospitali ya wilaya ya Pangani

DSC00581

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani, Mugiri Emili (kushoto) akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF), Amina Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo kuwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni, sukari ikiwemo mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo.(Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani).

DSC00583

Mbunge wa  Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani